pyongyang
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 702
- 1,498
jana na juzi watu walipiga sana pesa, so watu wanapotaka kufanya transactions kutoa ela zao kwa pamoja systems zinazidiwa i think....Leo meridian, betpawa kudeposit hakuna huduma !! Wazee wamatren failed!!
Hata kwa USSD pesa inatoka bt haifiki kweny account hususani airtel