IMG_8907.png

Asante live game
 
Jamani wazee wenzangu wa kubashiri....
naombeni kesho tukutane saa 4 asubuhi tujadili namna ya kumla mhindi kwa mechi muhimu kesho ijumaa. Tuhakikishe wikiendi tunaenda kuianza vyema.
 
Binadamu ameumbwa kufikiri yaani kutumia ubongo wake ipasavyo.

hivyo basi ni muhimu sote mimi na wewe tuumize kichwa namna ya kupata pesa ipasavyo. 😀😀😀
Naam kiongozi ni muda sasa wa kula sahani moja na mashehe."I want to be a different animal when I come back.It's gonna be frightening"-Ivan Toney.
 
Naam kiongozi ni muda sasa wa kula sahani moja na mashehe."I want to be a different animal when I come back.It's gonna be frightening"-Ivan Toney.
Umesema na kufikiri vyema lakini jaribu kupunguza shauku au kiu yako katika kamari, hii ni mchezo wa kamari huwa hauna dhamana, yaani ni muda wowote unakula mkeka au unachana mkeka. Be careful as a bettor.
 
  • Thanks
Reactions: EEX
Kabla ya kufikia kesho saa 4 asubuhi, katika majadiliano hebu nianze mimi kutoa fikra na mtazamo kwa baadhi za hizi timu Kama zifuatazo.

1. Pyramids ( misri )
To score in second half.
kipindi Cha pili ashinde.

2. Empoli ( Italia )
to score above 3 goals.
ashinde goli 3 na zaidi.

3. Mallorca ( espania )
Have a clean sheet in first half.
asifungwe hata goli 1 kipindi Cha kwanza.

4. Sevilla ( espania )
have a clean sheet in first half.
kipindi Cha kwanza ashinde au droo pasipo kufungwa hata goli 1.

5. Mainz 05 ( ujerumani )
Second half most scoring
magoli mengi kipindi Cha pili.


UNAWEZA KUTOA MCHANGO WAKO AU MASHAHIHISHO ZAIDI.
 
Back
Top Bottom