Simpleboylife
JF-Expert Member
- May 20, 2021
- 565
- 1,109
I CAN FEEL YOUR PAIN. INAUMIZA MNOOAisee nimechaniwa mkeka wa Millioni 1.6 na timu moja pekee.
MIMI JANA SALZBURG KANIKOSESHA 2.7M.
I CAN FEEL YOUR PAIN. INAUMIZA MNOOAisee nimechaniwa mkeka wa Millioni 1.6 na timu moja pekee.
Wakongwe mnarudi kwenye biashara 😁😁Waambieni betpawa wawe wanaruhusu kufuta mikeka iliyochanika. Inatia Sana huruma aisee
So sad 😞😥Ungefanya bila mahaba saivi ungekuwa hapa
Barca anaongoza kwa Kona 2!!hahaha sawa sawa mkuu
Pole sanaKinumbo
HILO NDILO PEPO LA TIMU MOJA. SALZBURG KUNIKOSESHA 2.7M Kiukweli naumia mpaka dakika hii
View attachment 2583745
ahsante mkuuPole sana
ahsante mkuu
Wewe yako imeniaminisha kuwa yule aliyepost kashinda Milioni 27 kadanganya, sababu wa kwako pesa inaonesha Tsh na ina spaces.Kinumbo
HILO NDILO PEPO LA TIMU MOJA. SALZBURG KUNIKOSESHA 2.7M Kiukweli naumia mpaka dakika hii
View attachment 2583745
Burnley washafuvu ingia EPLMpizani wa Burnley wanacheza pungufu dk 25
Vp mkuu hapo kuna uwezekano wa kutoboaBarca anaongoza kwa Kona 2!!
Ana Kona 4 girona 1Vp mkuu hapo kuna uwezekano wa kutoboa
Unadhani anaweza kudanganya Kwa faida ya nani ? Ili apate nini? Mimi naona jamaa kweli katusua,maana kusema uwongo kwamba umekula wakati hujala haikuongezei chochote kwenye platform kama hizi,ukizingatia kwamba hatufahamiani hapa.Wewe yako imeniaminisha kuwa yule aliyepost kashinda Milioni 27 kadanganya, sababu wa kwako pesa inaonesha Tsh na ina spaces.
Ile milioni 27 haina spaces wala haijulikani ya nchi gani
Barca leo wanafanya ujinga ila ref amezingua kukataa lile goliMkeka w kwanza
Barca
Simba
Wa pili
Simba
Young boys
Fenebance
Al ahly
Barca
Naoana Lewa/Rafinha/ Ansu kama hawako serious iv wanajua nimebet hawa mbwa
Wapuuzi wanarukaruka tuMkeka w kwanza
Barca
Simba
Wa pili
Simba
Young boys
Fenebance
Al ahly
Barca
Naoana Lewa/Rafinha/ Ansu kama hawako serious iv wanajua nimebet hawa mbwa