fizo talent
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 2,257
- 3,884
kanji weekend hii afe kipa afe beki mi naweka mitego kila mahali
Treni?analetaga na majamvi
Boom,Kuna hela ya bure kabisa hii hapaa...ARAP9 odds 1.41 KWA wenye stake kubwa...nimeona nishee hii sina uchoyo...saa3 dk....ndani ya dk 15 unavuta mkwanja 99.99!.
Ukiiacha hii code ntakushangaa sana
Sorry nilirusha code nikasepa, unai=copy unakwenda ku=paste kwenye a/c yako ya betpawa (kabla ya kupaste unafanya kama unabet timu moja alafu una clear betslip itatokea sehemu ya kuweka "booking code" unafanya ku-paste kisha unabonyeza "load" zitakuja timu nilizochagua then una-stake au una edit etc)Code zinasomajwe
Cheza live mkuu. Mfano unacheza kona first half under 5.5 wakati mechi imeshafika dk 16 hapo utapata odd ya uhakika. 1.3 odd ya uhakikaHabari wakuu,
Betting haina uhakika wa ushindi kwa 100%
Ila kwa mtu mwenyeji kwenye beting uhakika wa kupata odds 1.05 ya kila siku na ikatoa nadhani upo.
Nitapata wapi 1.05 odds kila siku ya uhakika?
Siyo 1.50, hapana ni 1.05 peke yake daily, nitapata wapi?
Hapa kuna wenyeji wa hizi mambo, na uwezekano wa kupata odd ya 1.05 daily uhakika upo.
Nani anaweza kuwa ananipa hiyo odds kila siku?
Maana kama inawezekana mimi ningekuwa namlipa kila siku buku ya vocha au baada ya mwezi 30,000 Tshs.
Nataka niweke stake ya "UHAI" kwenye hiyo odds kila siku.
Mechi moja tu wala sitaki mechi nyingi.
Hilo litawezekana au nitapoteza Uhai wangu.
Naombeni ushauri wakamaria.
Hold on. Unawezaje kuona settled bets bila ku log in? Pale juu pamejieleza wazi
Kuna walakini unawezajw kuona won tickets wakati huja log in? Au kuna kitu namisi hapo?View attachment 2571163
Usisahau kuangalia hapo juu
Iko sawa betpawa ukiwini hivyo inakuwa wazi hata usipologin unaanaKuna walakini unawezajw kuona won tickets wakati huja log in? Au kuna kitu namisi hapo?
LabdaIko sawa betpawa ukiwini hivyo inakuwa wazi hata usipologin unaana
huyu atakua amewin kweli maana hadi bet pawa wenyewe wameweka taarifa zake kutoka yule jamaa wa Geita aliye cash out M6 kwa stake ya buku na kumuweka huyu wa 110M kwa stake ya 550
Hapo lazima Kanji atikisike kidogohuyu atakua amewin kweli maana hadi bet pawa wenyewe wameweka taarifa zake kutoka yule jamaa wa Geita aliye cash out M6 kwa stake ya buku na kumuweka huyu wa 110M kwa stake ya 550View attachment 2571472
....sema mkeka umetiki muda huko toka tarehe 5 atakua kasharudisha hela yakeHapo lazima Kanji atikisike kidogo
Jibu tulipate kwa kujaribu ku sign out alafu tujaribu ku weka mkeka tuone kama unakubali ama la!Kuna walakini unawezajw kuona won tickets wakati huja log in? Au kuna kitu namisi hapo?
Huyu ali-win kabla ya yule wa Geita na waliweka kwenye page zao za social media ila kwenye app yao walianza kumweka yule wa Geitahuyu atakua amewin kweli maana hadi bet pawa wenyewe wameweka taarifa zake kutoka yule jamaa wa Geita aliye cash out M6 kwa stake ya buku na kumuweka huyu wa 110M kwa stake ya 550View attachment 2571472
Mkuu unayo link yake utusaidie?WEKA odds kuanzia 1.5 mpaka 2. Jiunge na PlayMaster kule telegram huwezi poteza kila siku
Sorry nilirusha code nikasepa, unai=copy unakwenda ku=paste kwenye a/c yako ya betpawa (kabla ya kupaste unafanya kama unabet timu moja alafu una clear betslip itatokea sehemu ya kuweka "booking code" unafanya ku-paste kisha unabonyeza "load" zitakuja timu nilizochagua then una-stake au una edit etc)
Njia nyingine (shortcut), una copy code kisha kwenye a/c yako ya BETPAWA juu kabisa mkono wa kulia pembeni ya neno MENU yaani kwenye kale kasifuri unabonyeza itakuja sehemu ya kuweka code then unabonyeza "LOAD"
Train letu la timu 21 limechana timu moja bahati mbaya timu iliyochana ilikuwa ipo katikati ya behewa hivyo cashout haikuachiwa! anyway tujipange upya tena6FFAE58 Kula chuma hicho BETPAWA