JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,735
- 6,158
Good if you played!🔥🏀💥💥1ATRU 1xbet🔥🏀 12 games
Good if you played!🔥🏀💥💥1ATRU 1xbet🔥🏀 12 games
hii leo tumepatwa wengiNimeingia saloon kujiweka fresh nimeacha chelsea anaongoza 1-0 , nakuja kutoka baadae sana mpira ulikua umeisha naingia sportybet mkeka wangu siuoni kwenye unsettled najiuliza imekuwaje? kuja kucheki flash score kumbe wametoa sare 2-2 daah! yan hapa nimechoka natamani hata nistaafu hiki cheo cha afisa ubashiri.
Nimeingia saloon kujiweka fresh nimeacha chelsea anaongoza 1-0 , nakuja kutoka baadae sana mpira ulikua umeisha naingia sportybet mkeka wangu siuoni kwenye unsettled najiuliza imekuwaje? kuja kucheki flash score kumbe wametoa sare 2-2 daah! yan hapa nimechoka natamani hata nistaafu hiki cheo cha afisa ubashiri.
RESULTS:-Genoa Win FT odds 1.94
Besiktas Win HT odds 1.63
Samsunspor Win Odds 167
Odds 5 hizo za Uhakikaa Wakuu nmewatengenezea Jilipueni hizo timu leo znatoboa....💪
RajaRaja
chelsea
Tottenham
Leipzig
Mamelodi
Wamenivurugia mipango yangu
NBA ilikaa bomba
NI UTAPELIII MKUBWA SANAAKATAA BETTING, BETTING NI UTAPELI.
Hili nakusapoti kwa 100% na nitaliendeleza kwenye majukwaa yote kivyovyote vile.KATAA BETTING, BETTING NI UTAPELI.
Inakusaidia nini?Hili nakusapoti kwa 100% na nitaliendeleza kwenye majukwaa yote kivyovyote vile.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Ila RB repz basi tuWanangu wa betpawa mzigo mwingine ule wa jana umeenda na Leipzig ,chelsea na norwich sasa wa leo ni full mapesa
Ayaa tuchambue wote wapendwa wa betpawa
2A6E842 zipo timu 30 odds 114 katika izo. Odds kuna timu 15 za 0.V5 ,timu tano za 1.5V ,timu tano za 1x na timu tano za ushindi
😃😃😃utapeli gani wakati timu unachagua wewe mwenyewe,,NI UTAPELIII MKUBWA SANAA
Wazee wa kujilipua haikuwa haba2ZSQU
Usiwe tabu odds 3 c habaView attachment 2556507
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app