Bring it on mkuuKwa wale wooooteee wanaotaka million kwa buku soon ntaweka treni ambayo itaanza safari kesho jmosi mpaka j3 ndo inafika lusaka
Bring it on mkuuKwa wale wooooteee wanaotaka million kwa buku soon ntaweka treni ambayo itaanza safari kesho jmosi mpaka j3 ndo inafika lusaka
Saudi wamezingua mkuu,overall tulikua vizuri..siku atapatikana tu huyu kanjiT9HXL 22bet
Tamu mnoLive bet TAMU sana View attachment 1718206
Very high risk na high capital na utulivu wa kutoshaTamu mno
Mkuu share hizo live hata mara moja moja..odds zikishuka poa tu..Live bet TAMU sana View attachment 1718206
Mechi ikiisha Bila Bila na nyingine 4-3
Akiweka nitag brotherNishapark mabegi vema, nasubiri usafiri wa Kigoma mkuu...
Live bet TAMU sana View attachment 1718206
Upo kama mimiKuomba goal mim hicho kitu siwez ni bola kuzuia kuliko kuomba
kuna mwamba mmoja nae alikua Na style kma yako, dau kubwa odds 2,3,4 account yake inasoma million 7,Mr. Corner kivip sijakuelew
Mr corner namjua sana , mzee wa live bet ni noma sana sema yeye huwa aoneshi stake zake ni kimya kimyakuna mwamba mmoja nae alikua Na style kma yako, dau kubwa odds 2,3,4 account yake inasoma million 7,
Kaka nimekwambia mim nabet kwa vipind yaan kama first half nabet dakk ya 25 ilikifa mapumziko hapo ndo tinajua mbivu na mbichi, na kipind cha pili nabet kuanzia dkk ya 70Mkuu nimechunguza live zako unavizia dk za mwisho kabisa ila huku ulituambia dk 20 baada ya game
yeah huwa aoneshi hila kuna day alituma screenshot ya mpunga kule ndichi, Ni shida kuna watu mnamioyo migumu, me tamaa huwa inanishika ndo napo kwamia, apo tuMr corner namjua sana , mzee wa live bet ni noma sana sema yeye huwa aoneshi stake zake ni kimya kimya
Na huwa unazui tu magoli,,,?na app gani unatumia kuchambua timu zikiwa liveKaka nimekwambia mim nabet kwa vipind yaan kama first half nabet dakk ya 25 ilikifa mapumziko hapo ndo tinajua mbivu na mbichi, na kipind cha pili nabet kuanzia dkk ya 70
SanaMkeka bet! Moja ya kampuni isiyo na mbwembwe ninayoikubali..hawa jamaa ukiwala fasta tu wanaweka mzigo! Wameniudhi tu walivyobadili web yao ya zamani,japo kuna option ya kutumia ile ya zamani.
Aliyeweka hongera zakee
Siku zote Saudi alikuwa yupo fresh saana ila jana sijui walikula maharaja ya wapiSaudi wamezingua mkuu,overall tulikua vizuri..siku atapatikana tu huyu kanji