Heart_Throb
Senior Member
- Apr 25, 2017
- 113
- 50
Yap nahs ilikuwa fault za kimtandao tuu, ila sasa hivi naona imerudi fresh kuliko zamani ukibofya tuu kitu kimeendaaa,, hadi unasikia rahaa kutupia BetHawa Princess Bet nafikiri wangefunga tu kampuni yao kila siku haifunguki du