donaldson don
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 624
- 416
Wakuu nimeamua kubadili PC yangu kwa profile nikimaanisha nimerudi kudai pesa zangu kwa mhindi hakuna mjadala....
Kwanini mkuuNimeamua kurudi princess.....
1xbet kuzuri kwa wenye mitaji mikubwa kaka maana wana viodds na vioption vya kisanii sanii sana...hata mimi nikiona sielewi huwa narudi nyumbani princess na premier1xbet kasi yake imenishinda nimedepost pesa Princess muda huu nimepiga pesa hadi raha...
Ngoja nibaki huku ndio level yangu....
Now nakula bia kwa faida niliyopata princess1xbet kuzuri kwa wenye mitaji mikubwa kaka maana wana viodds na vioption vya kisanii sanii sana...hata mimi nikiona sielewi huwa narudi nyumbani princess na premier
Huwa inatokea mara mojahakuna game za uhakika
Pole mzee
Rhapsody hiiNow nakula bia kwa faida niliyopata princess
Hyo mechi inayofatia niweke over ngapiLeo NBA overs za kimwaga.
Ipi lakers na dallas?Hyo mechi inayofatia niweke over ngapi
LakersIpi lakers na dallas?
In play mkuu, mida ya pesa hiinataka niweke mzigo wa maana
Mkuu imefika odd 2.84 je iko salama kuilipia hyo?In play
Mexico liga
Atlas vs montley
Corners- montley win
Odds: 2.67