Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau naomba mnielkeze.jinsi ya kuweka picha hapa, nataka niupload muone, huyu mhindi katuzoe sana mamaaae, sasa nimemuweza,najaribu ku upload picha nashindwa.naombeni mnielekeze ASAP asee niiweke hapa muone.
 
Nenda kwenye reply chagua hako kaalama ka camera utaona mafile huko unajua picha yako ipo wapi unaselect na kusubmit hapa
 
Mimi mpaka Feb 2 ndo naanza business! In next five years ntakuwa nimejenga shule au appartments kutokana na hii business.

Nataka niwe pro gambler.

Hongera sana mkuu wish you all the best. Mimi nataka jumamosi nile zakutosha sana
 
hapa ndani kila mtu anabet lakini kuiona hiyo mikeka kabla ndio inshu nzitooo, hata sisi tusiojua/tulio wageni sijui tudese wapi sasa.. just thinking
 
Back
Top Bottom