Hizi kampuni za kubeti wanaangalia game gani ndo game mama kwa siku husika na ndo inafanyiwa game fixing match inaisha nje ya uwanja .... mfano mimi nacheza sanna baskett game mama labda inaeza ikawa ya Lakers wengi wameeka lakers apate vikapu 105.5 kwenda juu utashangaa game inaisha lakers ana vikapu 104 na kama team pinzani mzigo uliwekwa sanna apate vikapu 107.5 game inaisha 104 - 98 hapo kamaliza kazi kesho yake anawapoteza tena maboya kwa game mama nyingine!!! Inshort anaangalia zaidu mzigo ulipo.... sasa ww na Buku yako akili ikiwa sawa ukaenda mule mule kwenye mzgo kwa game mama ya siku ndo kilio ..... game fixing zipo sanna tena sanna mechi zinaishia mezani ..... Kampuni za kubeti zimeharibu sanna Uhalisia wa mpira!!!