Nahitaji odd 50 za uhakika
itume tena code mkuu
ndicho unachoweza tu humu
Weka hizi uone zinafika odds ngapi, ndiyo matokeo nayo yaamini kwa ipande wangu. Ila hazitafika odds 50.

Mechi 11 tarehe 20 & 21 January 2024, na afisa ubashiri mwandamizi.

Epl:
-Liverpool vs Bournemouth: both teams to score/GG - yes,

Bundesliga:
-RB 0Leipzig vs Bayer Leverkusen: both teams to score/ GG - yes,
-Bayern Munich vs Werder Bremen: over 2.5 goals,
-VFL Bochum vs VfB Stutgart: over 1.5 goals,

La Liga:
-Girona vs Sevilla: double chance (DC) - Girona win or draw (1X),
-Real Madrid vs UD Almeria: Real Madrid win,
-Valencia CF vs Athletic Bilbao: both teams to score/GG - yes,
-Real Betis Seville vs FC Barcelona: both teams to score/GG - yes,

Eredivisie:
-FC Ulrecht vs PSV: FT over 2 5 goals,
-Ajax vd RKC Waalwajk: FT over 2.5 goals,

Liga Portugal:
-FC Porto vs Moreirense FC: over 1.5 goals.
 
Maamuzi Ni yako
Screenshot_2024-01-20-14-36-57-99.jpg
 
Mzoee huyu mmoja wa overthinkers kwenye huu uzi, all in all insights zake kwenye mechi zinasaidia wengi humu. Ukichukua maoni yake ukachanganya na maoni ya wengine humu unakuwa well informed kabla ya kufanya maamuzi.
Na wewe ndio maana kila siku unatukanwa. Overthinker wa mikeka?? Kweli naamini sasa anachosema... unamshobokea to the maximum acha akutukane tu.
 
Jitu bandia JITU BANDIA ni moja ya wadau muhimu kwenye huu uzi, hivyo nayachukulia chanya tu maneno yake makali. Nayeye ni binadamu, kuna muda atapata frustrations. Ila hizo haziwezi punguza mchango wake na umuhimu wake kwenye huu uzi.
Wewe jamaa nahisi ni kizazi cha 1970 kurudi nyuma. Una hekima sana. Ajaribu kutukana kizazi cha 80 na kuendelea aone moto.
 
Na wewe ndio maana kila siku unatukanwa. Overthinker wa mikeka?? Kweli naamini sasa anachosema... unamshobokea to the maximum acha akutukane tu.
Mwaka wa tisa sasa toka 2016 nafuatilia huu uzi, livebets na matokeo ya mechi hususani mechi za wikendi za ligi kuu kubwa ulaya. Credits nazompa jitu bandia naamini anastahili (unless otherwise specified).

Ukistudy mikeka yake na arguments zake unapata picha yupo vizuri kichwani upande wa bets. Ila mara kadhaa anapaisha ndiyo maana namuita overthinkers.
 
Back
Top Bottom