Hongera aseeSiku imeisha kanji kakubali za uso
Asante Sana,je hizo mechi zinatakiwa zishinde kwa mfuatano au hata kama zisipotiki kwa mfuatano wa kuanzia 1-10,11,12 au 13 unalipwa?Mechi 13 bonus inaanzia mechi 10,11,12 na 13,
Mpira ni x+y=zLeo hadi doxa katokopia kashinda hii ni hatari na mwenzake panetolics ndio vitimu vibovu dunia
Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
You are the best dear. Waiting for today tipsTip 1 imetick, tukutane tena kesho wakuu
Huo ndio ubaya wa jackpot za baadhi ya company , mm kiukwel upande wa jackpot napenda ya sportpesa kwasb hawana hizo taratb za mpangilio , kma umefikisha idadi ya bonus unapewa hata kma hazijashinda Kwa mfuatano mm nlishawah pewa bonus sportpesa na mech Wala hazikufuatana.Asante Sana,je hizo mechi zinatakiwa zishinde kwa mfuatano au hata kama zisipotiki kwa mfuatano wa kuanzia 1-10,11,12 au 13 unalipwa?
Mimi nimewatumia email 1xbet hawajajibu bado. Nimewapigia selcom wamesema muamala ulikamilika waliipeleka pesa kunakotakiwa na wamenitumia na uthibitisho wa msg.Muamala unakuwa rejected na Operator kwa sababu Selcom Duka Direct hajapeleka Pesa .Na TAPELI letu hapa ni hili Selcom Duka Direct.
Mimi nimeshawareport GBT na TRA.Kama mbwai na iwe mbwai hawawezi chukua kiasi cha laki moja yangu Mother....f
Duka direct ukiwatafuta wanakuambia watafute wallettec hawa wao kiwapata ni kwa email tu kazi ipo aseeNimepokea kaposho pahala nikasema nideposit 1xbet.
Pesa imekatwa MPESA, status ya 1xbet inaonesha nimedeposit lakini salio halijaongezeka.
Nawasiliana na 1xbet wanasema niwatumie email, naona usenge.
Baada ya muda msg ya 1xbet inaonesha muamala umekuwa cancelled na operator, but huku MPESA patupu. Najaribu kuwasiliana na MPESA wanasema muamala ulikamilika kami (wananipa na ref no)
ANGALIZO
Mnaotumia 1xbet, kitendo tu cha kudeposit ni kamari tosha. Kwa hiyo ikifanikiwa kufika kwenye akaunti ina maana umewin jaribio la kwanza, bado la pili.
Huyu mtu kati DUKA DIRECT ana shida, hata simu kupokea ni shida.
Pole baby, kwangu kuna umeme njoo ujiachiemmorning wakuu, haya haraka haraka leo, power bank nlisahau kucharge night na hakuna umeme , cm isizime