Leo namimi nimeikimbia sportybet nimehamia helabet mkuu maana sio kwa huo utitiri wa mechi 😅
Leo na kesho ndo zile siku za timu moja unayoiamini kuchana mkeka

Sasa naombeni kujua maana ya hii option ya substitute player to score kabla sijatia mzigo.
Watakao tokea sub wasifunge. No Watakao tokea sub wafunge Yes
 
Leo namimi nimeikimbia sportybet nimehamia helabet mkuu maana sio kwa huo utitiri wa mechi
Leo na kesho ndo zile siku za timu moja unayoiamini kuchana mkeka

Sasa naombeni kujua maana ya hii option ya substitute player to score kabla sijatia mzigo.

Hii option ni yakuotea game zisizo zidi mbili tatu tena mechi ngumu unazojua
Nilijaribu sana EPL ila za mbavu
Team zeny vikosi vipana hapo utakua unajisumbua
 
Wazee password ya 1xbet inanichanganya.. mbona inagoma kila mbinu nnayotumia kuitengeneza?
Screenshot_20230826-105910.png
 
4V6YX

1xbet code
Timu nane, odds nane ,, option matee style
 

Attachments

  • Screenshot_20230826-110626.png
    Screenshot_20230826-110626.png
    24.7 KB · Views: 9
  • Screenshot_20230826-110613.png
    Screenshot_20230826-110613.png
    34.3 KB · Views: 5
Nilichogundua siku ya game chache win huwa nyingi kuliko siku za mechi nyingi,,,,

Siku kama hii ni watu waliostiki kwenye ligi wazijuazo ndo huambulia chochote,,,, ukitanga tanga ni za kichwa tu
Kama Uyo psg sasa achelewag kuchana jamvi mtu ukabaki mdomo wazi kama mlango fuso.
 
Back
Top Bottom