LucasMkuu unantumia huyo Lucas
Ama etoo maana naskia n watu wawili tofaut
Dhuu kuna watu Bado mnatumiaNgoja nijaribu hivi
Dhuu kuna watu Bado mnatumia
Hii meridian
Service error zao zmeishaMbn sijawhi kuona shida yake?
Shida yake service error mkuu. Au baada ya watu wengi kuondoka, service ilikaa vizuri????Mbn sijawhi kuona shida yake?
Tuombe Mungu mkuu, naona mahesabu sio mabaya.Odd 8 za moto, long term planView attachment 1478113
Kweli mkuuTuombe Mungu mkuu, naona mahesabu sio mabaya.
mkuu tupia leo mwingine tuokoteze chache na sisi tutembelee nyotaDah !!! Ilikuwa nitusue hela ndefu sema treni imepata ajali...10 out of 13...aluta continua...View attachment 1478141View attachment 1478142View attachment 1478143
Shida yake service error mkuu. Au baada ya watu wengi kuondoka, service ilikaa vizuri????
[/QQ,
hyo bado unasumbua kaka ingawa sio sana kwa sasaShida yake service error mkuu. Au baada ya watu wengi kuondoka, service ilikaa vizuri????
Betika ndo nn?kampuni ya Kubet?anae tumia betika,
ivi inawezekana kudeposit pesa, ukitumia laini nyingine ambayo ujasair kama petika id.??