Yaani huyu aliyekula jackpot ya sportpesa amenivunja moyo kuendelea kubeti jackpot nilikuwa nimeipania sana ile millioni 400 kila wiki nilikuwa natumia 50k mpaka 60k kuifukuzia daaah kweli bahati ni bahati tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi naambuliaga bonus tu mechi 10..weekend hii sikucheza kabisa...nimechungulia now naona mzigo umeondoka wameanza na 200 zingine..dah huyo aliyekula kaanza mwaka vizuri kwa usawa huu huo mkwaja angalau si haba..
 
Na nilikuwa na uwakika kwamba lazima nimpige ile millioni kumi ila wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…