Informer
JF-Expert Member
- Jul 29, 2006
- 1,599
- 6,669
Wakuu,
Mmoja wa wenye hisa katika Jamii Media inayoendesha mitandao ya JamiiForums na Fikra Pevu, ndg. Mike Mushi amehojiwa na Jeshi la Polisi kituo cha kati jijini Dar.
Inadaiwa huenda akaunganishwa na kesi mojawapo inayomkabili Maxence Melo (hasa ambayo itatajwa Februari 16, 2017, Kosa la Kutumia mtandao bila kusajili domain ya DOT-TZ).
Mike ameruhusiwa hivi punde baada ya kupewa dhamana.
=====
Tazama habari hii na maoni yake yakisomwa ktk Jamii Leo