Mike Mushi, mmoja wa wenye hisa Jamii Media ahojiwa na Polisi

Hizi drama zimetuchosha sasa. Mbona hakuna juhudi za Escrow, Epa au Lugumi bali juhudi ziko kwenye uchochezi uchwara na kesi za mitandao tuu?
Hata killaza namna gani anatambua wamechoka

Oooh- umetukumbusha LUGUMI.....wakati mwingine unaweza ukawaza uko nchi gani hii?
 
Wakiwamaliza the owners, sasa watatugeukia sisi members tunaochangia kwa mada ambazo sio furahishi kwa watawala.

Tanzania tulichagua viongozi ili watuongoze, baada ya kuwapa kura za kutosha na kuwapa mamlaka, sasa kuongoza ni basi bali kutawala! .

Nchi ikiishakosa mifumo, dira na mwelekeo, kila mtu anajikuta hajiamini, hivyo kuzua zua vikesi kwa lengo la kumfurahisha mfalume, huku wakijiamini ndio wanamsaidia, lakini kiukweli hawamsaidii na sana sana wanamharibia!.

Yana mwisho haya!.

Paskali.
 
Malaika anatafutwa aje azime mitandao! wanataka kusikika wao tu, tena wakiwakejeli watanzania kwa kauli za majivuno na kubeza
 
Long life Mexence Melo, long life wadau wote wa JF. Maisha marefu JAMII FORUM
 


Nitakayokomesha haya machaga.

Katibu alibeba meno ya tembo kwa kutumia meli zake na akakataa kwamba hakujua meli ilibeba nini.
Mike Mushi kuwa na hisa jamii media imekuwa shida?

Uprimitive unaliangamiza taifa

Mwambie atupe nchi yetu aone tutakachofanya.
 


Nitakayokomesha haya machaga.

Katibu alibeba meno ya tembo kwa kutumia meli zake na akakataa kwamba hakujua meli ilibeba nini.
Mike Mushi kuwa na hisa jamii media imekuwa shida?

Uprimitive unaliangamiza taifa
ah wapi huyu kiazi ataishia akisema nibangue kwa ndumu tu hawezi lolote!! ataishia kupigwa kusaga lami hadi 2020 bila kitu mwache!!
 
Hapi ndipo utakapojua kuwa mfa maji haachi kutapatapa. Mungu awe pamoja nanyi Max,Mike na wengineo. Msijali Mungu ana kila sababu ya kuwa nanyi na kuwapa mawazo ya kuanzisha jf,haya yote yanapita
 
Hivi JF inakwamisha vipi kutekeleza ahadi zao kwa wananchi, wapga kura wanasubiri 2020 wajue ahadi zimetekelezwa vipi
 
Kwa hali ilivyo ni bora kutomiliki chochote,uishi kama shetani
Na ndicho 'mtukufu' anachokitaka. hakuna kitu kibaya kama kuishi mazingira ambayo bosi mkubwa kabisa anachukia watu wanao ishi vizuri akiamini ndiyo wanaowasababishia wengine umasikini walio nao.
 
Ohoooooo Mike naye tena?
Hivi ni kwamba hawakujua kama kuna kumhoji Mike kipindi chote walichokuwa na Max au baada ya kuona wamekosa ushahidi ndio wanaanza figisu?

Hii nchi bwana!
wakimaliza kwa mike watakuja kwa member waanzilishi hawa watu wana shida sana
wanaacha kuangalia matatizo ya njaa yaliyotokea wanaangalia mitandao halafu nasikia wanataka kufungia na magazeti yaani hii nchi shda
 
Mimi nafikiri magu alipata urais ili aje kuwakamata wabaya wake. Lakini kwa taarifa yake asidhani anataka kuwashughulikia anaodhani ni vidagaa humu kuna mpaka mawaziri na baadhi ya watu waliomo ikulu ambao pia wanakosoa utawala wake
naona hilo halijui maana angejua asingeangaika na jf
 
Back
Top Bottom