Mikakati thabiti ya siasa UKAWA

Mikakati thabiti ya siasa UKAWA

Ni aibu kubwa sana kudai ukawa na chadema wapo strategic,strategic kwa kukiuza chama kwa lowassa?

Strategic kwa kumtosa Slaa kwa tamaa ya fedha?

Strategic kwa kumshambulia mke wa Slaa?

Kati ya Mbowe na chadema nani strategic?

Mbowe kauza chama kaweka ndani bilioni 12,wengine hollaaaaaaaaa mnapiga kelele humu ama mbowe kiboko
 
Kila kona wanaibiana wao kwa wao.

wanasubir hukumu yawananchi.

kwere yuko bize anamalizia kuaga, aiwaambawajiandae ksaikoloji maana aliuon ukweli kuwa jamaa wamjipanga kweli coz wamepeleka mputa mputa kweli ktk utawala wake.
Badaa watie maji, wao wameufyata.

keep it up UKAWA.
 
Kila kona wanaibiana wao kwa wao.

wanasubir hukumu yawananchi.

kwere yuko bize anamalizia kuaga, aiwaambawajiandae ksaikoloji maana aliuon ukweli kuwa jamaa wamjipanga kweli coz wamepeleka mputa mputa kweli ktk utawala wake.
Badaa watie maji, wao wameufyata.

keep it up UKAWA.
Wewe usicheze na mkwere kama 7nadhani yupo kimya tu umepotea ngoja mziki wake utauona hivi karibuni
 
Pongezi ziwaendee wote walioshiriki kupanga mkakati huu.
Mkatakati umezaa matunda.
Imewachanganya sana, hawajui anawaza nini, je anatoka au inakuwaje! Anarudi alikotokea miaka ile au inakuwaje!! Je anaacha siasa au ni vipi!!! Yote haya ni maswali wanajiuliza hawapati majibu.
Wengine wameenda mbali zaidi, eti kwa kuwa hawa wamesajiri Messi, basi wao wanataka wasajiri Ronaldo.
Yaani ni hatari upande ule.
Hawatumii akili tena, mwanzoni walidai ni yeye, Lissu na Mnyika. Akaanza Lissu, akaja, sasa Mnyika kaja. Hawajashituka tu kuwa huu ni mkakati wa kuwapoteza. Sasa kabaki huyu, wanajipa moyo tu, wanaendelea kusubiri tu, wanafuata nyuma ile ya Fisi kusubiri mkono udondoke, kumbe muda unaenda.
Walivyo wajinga wamemsahau MTU wao, sasa hata haijulikani yupo wapi na anafanya nini.
Media zote kwa sasa ni Mgeni na Katibu ndo habari ya mjini.
UKAWA/CDM mnatisha aisee.
Wamepoteana.
Katibu ngoja ngoja siku zisogee kwanza, ukija kwa sasa itakuwa bado mapema mno.
Subiria wazidi kupoteana zaidi.
Big up mpango huu.[/QUO
Unapocheza gama ya politics inabidi uwe so strategic uwanjani.

Hadi hivi sasa kwenye game hii ya CCM vs CDM, mpaka sasa CDM inawachezea half ground CCM na imewazidi kwa kila kitu, kuanzia ball possession, goal attempts na zaidi sana wanawachezea half ground kwenye eneo la CCM.

Ni dhahiri kwa namna game inavyoendelea, refa atakapopuliza filimbi ya kumaliza mchezo, CCM atakuwa amelala.
 
Kama ulikuwa ni mkakati basi mlipaswa kuachia hizi taarifa zizagae toka awali...swali, kwanini marayakwanza mlikuwa mnasema yuko likizo, anaumwa, ana majukumu mengine?
Anyway..la kuvunda halina ubani mkuu..jipeni moyo

wewe unataka mkakati uwe kama unavyotaka wewe, huo ni mkakati wao sio wako mkuu
 
Siasa za kinafiki nazichukia sana. Sizipendi kuziona,kuzishiriki,kuzisikia wala kuzinusa. Hukasirishwa nazo sana. Eti leo Dr. Slaa amekuwa kipenzi cha CCM. Eti leo Dr. Slaa wa CHADEMA anaonewa huruma na wanaCCM na hata viongozi waandamizi. Tangu lini mambo haya? Si huyu aliyekataliwa chamani,kwa hila, mwaka 1995 kule Karatu na ukawa ndiyo mwanzo wa yeye kuhama CCM na kujiunga CHADEMA?

Ni Dr. Slaa huyuhuyu alikuwa akiitwa majina mbalimbali ya kukereketa na kufukuta masikion mwa watanzania. Dr. Slaa, ashakum si matusi, ameitwa Padre Mzinifu na hata Babu Slaa. Aliitwa hivi kumpotezea maboya na kumtweza mbele ya watanzania. Dr. Slaa wa CHADEMA aliandikwa,kutangazwa na kusemwa kama asiyefaa. Leo,walewale wapondaji wanamsifu Dr. Slaa na kumuonea huruma kuwa amepokwa nafasi ya kugombea Urais. Unafiki.

Makada wa CCM,wale wenye uelewa finyu wa mambo ya kisiasa, wanaona kuwa kwakufanya hivyo watawavuruga CHADEMA. Vipi kuhusu patashika-nguo kuchanika ndani ya CCM? Muda huu tuutumie kujipanga dhidi ya UKAWA na mchezaji wao mpya Lowassa. Ya Dr. Slaa yatatudumaza na kutukwamisha. Dr. Slaa bado yuko CHADEMA na mwenye ari kubwa. Wabobezi tunajua.

Mchezo anaoucheza Dr. Slaa na CHADEMA ni kama ule wa kwenye filamu maarufu ya kikorea ya Jumong. Jumong alipotea na kujipoteza mara kadhaa kuhadaa mahasimu wake. Alipojitokeza kwa surprise, mahasimu wake waliipata habari yao. Makada wenzangu, Dr. Slaa hatuhusu. Tuendelee kuzichanga vyema karata zetu kwa mpambano wa Oktoba 25 mwaka huu.

Siasa za kinafiki hazina rafiki na hatufiki!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
 
Subiri kampeni zianze. Bado la mgambo ahalijalia.

Mkuu, usizungumzie suala la kampeni kuanza. Usiombee kabisa tufikie huko, maana yaliyopo huko ni makubwa hamtaweza kuamini.
Nondo/evidence alizokabidhi EL CDM/UKAWA kudhihirisha ushiriki wake kwenye sakata la Richmond ni balaa. Kipindi cha kampeni ndo muda muafaka cdk/UKAWA wamejipanga kuzitoa hadharani. Nchi itageuka.
Si unakumbuka kipindi flani, kwenye kikao flani nyeti cha ccm, EL alitaka kutoa mambo hadharani Mzee wa Ukweli na Uhakika akaziua???!!
Nondo zote zile sasa jamaa alishazikabidhi huku. Unadhani walimpokea kijingakijinga tuuu???!
Wanakwambia EL ni msafi mno, wana maana yao.
Subiria uje uone. Najua kuna siku utaelewa.
 
CCM kwa sasa inacheza ngoma isiyoijua na hasa mpigaji wake hawamjui
 
Nadhani wa kuulizwa zaidi ni nyie CHADEMA ambao siku zote mlikuwa mnamtukana Lowasa. Na sasa amekuwa Mgombea wenu. Usitukane Mamba kabla hujavuka mto
 
bila slaa ukawa itayumba ingawa bado tunatamani ccm iondoke. hivyo ile tu kubadili uongozi wa nchi, kwa wana mabadiriko ni jambo jema sana

Mkuu, W. Slaa yupo kajaa tele. Anatekeleza Masharti ya mkakati tu.
 
Nadhani wa kuulizwa zaidi ni nyie CHADEMA ambao siku zote mlikuwa mnamtukana Lowasa. Na sasa amekuwa Mgombea wenu. Usitukane Mamba kabla hujavuka mto

Niambie ni kitu gani kilimtukanisha Lowasa na Lowasa alitukanwa tusi gani?
 
Mheshimiwa unauliza lini Slaa kawa kipenzi cha CCM!!
Ni ile siku Lowasa alipoacha kuwa fisadi mbele ya Chadema na kuwa kipenzi chao.

There is neither a permanent enemy nor a permanent friend. That is life.
 
Back
Top Bottom