morenja
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 4,518
- 1,855
JK amenichekesha sana leo,,eti dunia nzima inajua Tanzania tunapata maendeleo wakati sisi wenyewe watanzania hayo maendeleo hatuyaoni.
Huyu sio mzima.mfano wake nikama vile huko nyumbani na mke na watoto mmelala njaa ukatoka kutembea akurudi nyumbani .ikawa unahadisia familia yako .unajua watu wanajua sisi atujalala. Na njaa tena wanajua sisi matajiri.yaani sijui mtu anaipa kura ccm ana akili ya namna gani.au sijui wanatumia hii fursa ya watanzania walio duma akili na mwili kutokana na umaskini ulio pelekea kukosa lishe bora.maana juzi juzi wametoa takwimu inaonesha 46% ya ukuaje wa akili na mwili Tanzania ni wahathirika wamedumaa.kutokana ukosefu. Wa lishe bora.nafikiri ccm wanatumia mwanya huu. Sio bure .maana aiwezikani watu wanapigika na shida. vibaya hivi lakini bado wanaipa kura ccm.tena mbaya zaidi unakuta mpaka wafanyakazi wasomi tuu ili yupo kazi anapata virushwa na uwizi mdogo mdogo .anajiona amefika kweli kweli .apati ufahamu kuwa inakuwaje mimi nafanyakazi lakini kula yangu na vaa yangu. Inatokana na rushwa na dili .yaani ni upuuzi mtupu unakula rushwa unaiba ili hule na uvae vizuri uweze kufanya kazi vizuri.awaoni ni biashara kichaa hii.bado hawapati ufahamu ili mradi ana nafasi yake kunarushwa na vidili anaipigia kura ccm.ccm ndio maana awajishuhulishi kupiga vita umasikini .kwani. Ndio mtaji wao wa ushindi.