Mimi binafsi zimuungi mkono Dr Slaa. Ila nawaunga mkono wanaochochea kuni
Najua na rafikiyo katupwa,ila kutupwa kwake najua sababu..........Mshauri aje na yeye huku kwetu CHAGGADEMA.....
Ila aliyechukua Viatu vya SHOSTIKO wako najua hata viweza na sidhani kama atapata huko...............
Mzee wangu,hiyo ya TAA...KUUKUU mbona ipo mpaka kwenye TBCCM walisema?
Sasa unamsupport Lowassa halafu humpi wabunge wakutosha inakuwaje?Lazima kama unasupport kwa kila hali basi KULA YAKO YA UDIWANI ,UBUNGE,URAIS vyote viende CHAGGADEMA au?????????????
Duh!Rafiki yangu Mussa Allan umebanwa kweli...Huko ndiyo uko kimwili tu,kiakili uko huku.
Ukiwa mkuu wa wilaya halafu rais CDM,Mbunge CCM utafanyaje kazi?:doh::doh:
CCM :A S 103::A S 103::A S 103: by Mussa Allan
Usiunge mkono kila hoja. Utakuwa taahira
Nadhani wa kuulizwa zaidi ni nyie CHADEMA ambao siku zote mlikuwa mnamtukana Lowasa. Na sasa amekuwa Mgombea wenu. Usitukane Mamba kabla hujavuka mto
Nadhani wa kuulizwa zaidi ni nyie CHADEMA ambao siku zote mlikuwa mnamtukana Lowasa. Na sasa amekuwa Mgombea wenu. Usitukane Mamba kabla hujavuka mto
Wewe tunakujua. Ufisadi umekukimbiza CCM.
Kwa kuwa una akili fupi haujaelewa mada,Nadhani wa kuulizwa zaidi ni nyie CHADEMA ambao siku zote mlikuwa mnamtukana Lowasa. Na sasa amekuwa Mgombea wenu. Usitukane Mamba kabla hujavuka mto
Nadhani wa kuulizwa zaidi ni nyie CHADEMA ambao siku zote mlikuwa mnamtukana Lowasa. Na sasa amekuwa Mgombea wenu. Usitukane Mamba kabla hujavuka mto
Chadema kivipi tena Lizaboni, huyo VUTA-NKUVUTE amekuwa akijipambanua kama ni mzee tupatupa wa Lumumba(Ofisi ndogo ya ccm) Dar es salaam.Nadhani wa kuulizwa zaidi ni nyie CHADEMA ambao siku zote mlikuwa mnamtukana Lowasa. Na sasa amekuwa Mgombea wenu. Usitukane Mamba kabla hujavuka mto
Mkuu Lizaboni,nimekuwa nikiziamini sana taarifa zako na inaonekana unauelewa mpana sana juu ya siasa za Tanzania.Mimi binafsi zimuungi mkono Dr Slaa. Ila nawaunga mkono wanaochochea kuni
safi sana mkuumheshimiwa unauliza lini slaa kawa kipenzi cha ccm!!
Ni ile siku lowasa alipoacha kuwa fisadi mbele ya chadema na kuwa kipenzi chao.
There is neither a permanent enemy nor a permanent friend. That is life.