Mikakati thabiti ya siasa UKAWA

Mikakati thabiti ya siasa UKAWA

Nadhani wa kuulizwa zaidi ni nyie CHADEMA ambao siku zote mlikuwa mnamtukana Lowasa. Na sasa amekuwa Mgombea wenu. Usitukane Mamba kabla hujavuka mto
Mzee Tupatupa siyo CHADEMA bali gamba anapowashauri mpokee ushauri wake.
 
Ni aibu kubwa sana kudai ukawa na chadema wapo strategic,strategic kwa kukiuza chama kwa lowassa?

Strategic kwa kumtosa Slaa kwa tamaa ya fedha?

Strategic kwa kumshambulia mke wa Slaa?

Kati ya Mbowe na chadema nani strategic?

Mbowe kauza chama kaweka ndani bilioni 12,wengine hollaaaaaaaaa mnapiga kelele humu ama mbowe kiboko

Deep in your heart unajua kabisa haya unayoyasema si ya kweli zaidi ya muhemuko tu wa kisiasa. Umelishwa maneno na umeyakubali. M/kiti wenu aliwahi kuwaambieni kuwa "akili za kuambiwa, changanya na zako" hamtaki kuelewa.
Anzeni kuwaza mpango Mpya wa namna gani mtapambana kumnadi Jpm majukwaani.
 
VUTA-NKUVUTE

Mzee wangu,kama kawaida Bintiyo ni swali la KITAA;hivi CCM mlisema Lowassa ananunua UONGOZI kwa pesa yake,tumewaona watu kama Nape,Mwigulu,nk nk wakitoa pesa ili kununua nafasi za kupitishwa kuingia kwenye ubunge wasemaje kuhusu hilo?

Au kwa hawa hili wanalofanya ni KUTOA TAKRIMA tu kwa wapiga kura wao?Na je TAA KUKUU wanasemaje?Maana wengine walishikwa wakiwa wanagawa na wakapatikana na hatia ya kutoa kale kamchango...TAA-KUKUU ikawaona lakini siunajua TAA ...KUUKUU haina mwanga sana wamerudishwa na kuambiwa wameshinda kwa KISHINDO CHA NUKLIA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Unasemaje?Na sisi wadanganyika unatushaurije?Maana mlisema wote wanaonunua UONGOZI wasichaguliwe,lakini ndiyo manaotuletea ili tuwachague,hebu tuambieni mnatuweka wapi wapiga kura wadanganyika yetu........
 
Last edited by a moderator:
Nadhani wa kuulizwa zaidi ni nyie CHADEMA ambao siku zote mlikuwa mnamtukana Lowasa. Na sasa amekuwa Mgombea wenu. Usitukane Mamba kabla hujavuka mto
Naona unamkana kada mwenzako kisa kusema ukweli mgombea wenu anafanya ziara za kiofisi na bado mnatumia wanafunzi kujaza viti mnapozungumzia ukawa na chadema mnampoteza mgombea wenu masikioni pa ccm wenzenu
 
Mkuu. Mimi ni mwana CCM halali kabisa.Hata juzi nilikuwa kwenye mchakato wa upigaji kura za maoni hapa Arusha na tukampitisha Mollel.
Ila namsapoti Lowassa kwa nguvu zangu zote, kwa akili zangu zote na kwa moyo wangu wote.

waambie na wengine maneno haya...pia Lowasa hawezi kufanya kazi peke yake...mpatie na wabunge wa UKAWA
 
Kama ulikuwa ni mkakati basi mlipaswa kuachia hizi taarifa zizagae toka awali...swali, kwanini marayakwanza mlikuwa mnasema yuko likizo, anaumwa, ana majukumu mengine?
Anyway..la kuvunda halina ubani mkuu..jipeni moyo

Mkuu, wewe inaonekana hukuwahi kupita JKT au hata mgambo basi.
Huwezi kuuza ramani ya vita alafu utegemee ushindi. Hata hii ni siri ndogo tu, makubwa yanakuja.
 
Hilo swali ligeuzie kwako kisha jiiulize tangu lini fisadi Lowassa amekuwa kipenzi cha Chadema.
 
Mzee wangu,kama kawaida Bintiyo ni swali la KITAA;hivi CCM mlisema Lowassa ananunua UONGOZI kwa pesa yake,tumewaona watu kama Nape,Mwigulu,nk nk wakitoa pesa ili kununua nafasi za kupitishwa kuingia kwenye ubunge wasemaje kuhusu hilo?

Au kwa hawa hili wanalofanya ni KUTOA TAKRIMA tu kwa wapiga kura wao?Na je TAA KUKUU wanasemaje?Maana wengine walishikwa wakiwa wanagawa na wakapatikana na hatia ya kutoa kale kamchango...TAA-KUKUU ikawaona lakini siunajua TAA ...KUUKUU haina mwanga sana wamerudishwa na kuambiwa wameshinda kwa KISHINDO CHA NUKLIA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Unasemaje?Na sisi wadanganyika unatushaurije?Maana mlisema wote wanaonunua UONGOZI wasichaguliwe,lakini ndiyo manaotuletea ili tuwachague,hebu tuambieni mnatuweka wapi wapiga kura wadanganyika yetu........

Binti yangu Tetty leo umeniweza. Maswali yako yanahitaji utafiti ulio fiti. Nipe muda

Mzee Tupatupa
 
Last edited by a moderator:
Siasa za kinafiki nazichukia sana. Sizipendi kuziona,kuzishiriki,kuzisikia wala kuzinusa. Hukasirishwa nazo sana. Eti leo Dr. Slaa amekuwa kipenzi cha CCM. Eti leo Dr. Slaa wa CHADEMA anaonewa huruma na wanaCCM na hata viongozi waandamizi. Tangu lini mambo haya? Si huyu aliyekataliwa chamani,kwa hila, mwaka 1995 kule Karatu na ukawa ndiyo mwanzo wa yeye kuhama CCM na kujiunga CHADEMA?

Ni Dr. Slaa huyuhuyu alikuwa akiitwa majina mbalimbali ya kukereketa na kufukuta masikion mwa watanzania. Dr. Slaa, ashakum si matusi, ameitwa Padre Mzinifu na hata Babu Slaa. Aliitwa hivi kumpotezea maboya na kumtweza mbele ya watanzania. Dr. Slaa wa CHADEMA aliandikwa,kutangazwa na kusemwa kama asiyefaa. Leo,walewale wapondaji wanamsifu Dr. Slaa na kumuonea huruma kuwa amepokwa nafasi ya kugombea Urais. Unafiki.

Makada wa CCM,wale wenye uelewa finyu wa mambo ya kisiasa, wanaona kuwa kwakufanya hivyo watawavuruga CHADEMA. Vipi kuhusu patashika-nguo kuchanika ndani ya CCM? Muda huu tuutumie kujipanga dhidi ya UKAWA na mchezaji wao mpya Lowassa. Ya Dr. Slaa yatatudumaza na kutukwamisha. Dr. Slaa bado yuko CHADEMA na mwenye ari kubwa. Wabobezi tunajua.

Mchezo anaoucheza Dr. Slaa na CHADEMA ni kama ule wa kwenye filamu maarufu ya kikorea ya Jumong. Jumong alipotea na kujipoteza mara kadhaa kuhadaa mahasimu wake. Alipojitokeza kwa surprise, mahasimu wake waliipata habari yao. Makada wenzangu, Dr. Slaa hatuhusu. Tuendelee kuzichanga vyema karata zetu kwa mpambano wa Oktoba 25 mwaka huu.

Siasa za kinafiki hazina rafiki na hatufiki!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

wanafiki wa kubwa ni chadema na wafuasi wake wafu,Tangu lini Lowasa akawa msafi kwenu?
 
Mkuu. Mimi ni mwana CCM halali kabisa.Hata juzi nilikuwa kwenye mchakato wa upigaji kura za maoni hapa Arusha na tukampitisha Mollel.
Ila namsapoti Lowassa kwa nguvu zangu zote, kwa akili zangu zote na kwa moyo wangu wote.

Sasa unamsupport Lowassa halafu humpi wabunge wakutosha inakuwaje?Lazima kama unasupport kwa kila hali basi KULA YAKO YA UDIWANI ,UBUNGE,URAIS vyote viende CHAGGADEMA au?????????????

Duh!Rafiki yangu Mussa Allan umebanwa kweli...Huko ndiyo uko kimwili tu,kiakili uko huku.

Ukiwa mkuu wa wilaya halafu rais CDM,Mbunge CCM utafanyaje kazi?:doh::doh:

CCM :A S 103::A S 103::A S 103: by Mussa Allan
 
Binti yangu Tetty leo umeniweza. Maswali yako yanahitaji utafiti ulio fiti. Nipe muda

Mzee Tupatupa

Najua na rafikiyo katupwa,ila kutupwa kwake najua sababu..........Mshauri aje na yeye huku kwetu CHAGGADEMA.....

Ila aliyechukua Viatu vya SHOSTIKO wako najua hata viweza na sidhani kama atapata huko...............

Mzee wangu,hiyo ya TAA...KUUKUU mbona ipo mpaka kwenye TBCCM walisema?
 
Back
Top Bottom