Mikakati thabiti ya siasa UKAWA

Mikakati thabiti ya siasa UKAWA

Kwakwel bora zitto atleast tulishamzoea vituko vyake pia sio mbaya sababu ni kijana basi tunajua una mambo mengi

Lakini huyu mzee slaa ni mzigo kwakwel, mzee mzima kama huyu kushikwa akili na mwanamke wa nje ya ndoa ni aibu sana, hiv kwel huyu urais angeuweza kweli, eti ooh mara nchi haitatawalika, huu ni ujinga kumbe yeye mwenyewe nyumban kwake ndiko hakutawaliki.

Kiongozi wa chama mkubwa unalipwa zaid ya milion 7 per monthly bado posho na marupu rupu kibao lakini week sasa inaisha umefungiwa ndani na janamke kazini huendi? Hivi kweli unadirik kumpa mwanamke password za social networks, aiseee huyu mzee mi nimemshusha sana thamani, anajifanya anaichukia CCM kumbe unafiki tu,kweli leo hii ndio kawa wa kusaliti CHADEMA.

Laana itamtafuna huyu mzeee

Edi

Well said brother
 
Edi[/QUOTE
Nia yako ni kumtia hasira Dr, bahati mbaya hayo hayamsubui kwa kuwa ni mpango mkakati wao
 
umezungumza kitu cha maana sana kwa kweli Slaa atakapojitokeza na Kusema bado yuko chadema na anamuunga mkono Lowasa kwa maana ya kuitoa ccm madarakani ccm itakuwa imezikwa rasmi, hii ni kwa maoni yetu sisi kina gogo la shamba,kwa hivyo basi kama kweli Slaa anataka kuimaliza ccm afuate ushauri wetu
 
Kwakweli nawashangaa kabisa vijana wa Lumumba,badala ya kufanya propaganda ya kukinusuru ccm wao wanawatukana viongozi wa cdm
 
umezungumza kitu cha maana sana kwa kweli Slaa atakapojitokeza na Kusema bado yuko chadema na anamuunga mkono Lowasa kwa maana ya kuitoa ccm madarakani ccm itakuwa imezikwa rasmi, hii ni kwa maoni yetu sisi kina gogo la shamba,kwa hivyo basi kama kweli Slaa anataka kuimaliza ccm afuate ushauri wetu

Iwapo CCM itamalizwa hakutakuwa na maendelea katika nchi hii kwa maana bila changamoto....
kumbuka vyama vikuu vya upinzani vimeungana hivyo sio rahisi kuumbuana na kusemezana ukweli zaidi ya kulindana,mfumo ulioasisiwa na viongozi wa awali katika nchi nyingi katika Afrika.
Natamani sana kuwepo na uwiano mzuri wa wabunge
 
Kwa kweli ni hisia zake alizounga unga na matukio na kupata ABC

Mwaka huu maccm mtapigwa ujauzito bila ya kupenda,ili mradi tu mtu awadanganye kuwa anajua siri za dr slaa
 
Kwakwel bora zitto atleast tulishamzoea vituko vyake pia sio mbaya sababu ni kijana basi tunajua una mambo mengi

Lakini huyu mzee slaa ni mzigo kwakwel, mzee mzima kama huyu kushikwa akili na mwanamke wa nje ya ndoa ni aibu sana, hiv kwel huyu urais angeuweza kweli, eti ooh mara nchi haitatawalika, huu ni ujinga kumbe yeye mwenyewe nyumban kwake ndiko hakutawaliki.

Kiongozi wa chama mkubwa unalipwa zaid ya milion 7 per monthly bado posho na marupu rupu kibao lakini week sasa inaisha umefungiwa ndani na janamke kazini huendi? Hivi kweli unadirik kumpa mwanamke password za social networks, aiseee huyu mzee mi nimemshusha sana thamani, anajifanya anaichukia CCM kumbe unafiki tu,kweli leo hii ndio kawa wa kusaliti CHADEMA.

Laana itamtafuna huyu mzeee

Edi

Weka aliba ya maneno,hii ni siasa.
 
Ikiwa ni muda sasa tangu lowassa alikaribiswa, akapokelewa,akatambulishwa,akuchukua fomu za kugombea uraisi na hatimaye kurudisha na kupokelewa makao makuu ya CHADEMA huku kukiwa na sintofahamu kwa pande mbili zinazokinzana yani wanaomkubali Lowassa na wasiomkubali,taarifa za siri zinasema mambo yako shwari ktk umoja huo,kinachofanyika ni mkakati was kisiasa (political strategy)ktk kujiimarisha ambapo hucheza na saikolojia kama ifuatavo tukiegemea zaidi CHADEMA,

1.Slaa, Lisu na Mnyika na wengineo kutokuwepo katika utambulisho ili kuvuta attention ya watu ambapo yatasemwa mengi kupitia medias na maoni ya watu binafsi na social medias hivo uenezi wa umoja huo kiaina ambapo hili limefanikiwa.

2.Tundu Lisu kujitokeza akikanusha habari za kutokukubaliana na ujio wa Lowassa na kusisitiza maamuzi yaliyofanywa na vikao halali vya chama na umoja huo ambapo limefanyika.

3. viongozi, wabunge na wanachama kujitokeza kumpokea Lowassa katika kurudisha fomu za uraisi ambapo tumeshuhudia kina Mabere Marando, Professor Safari na wengine wakimpokea Lowassa ambapo limefanyika juzi vizuri.

4. ukimya wa Docta Slaa kuendelea ili kuutangaza umoja huo na mgombea kupitia wale wanaotamani ajiondoe chamani wakijivika mwavuli wa wanamapinduzi halisi dhidi ya wale wasimamiao msimamo wa umoja na maamuzi ya vyama ambapo linafanyika sasa hivi.

5. Docta Slaa kujitokeza hadharani na kutegua kitendawili cha sintofahau iliyodumu kwa muda kwa kuvunja ukimya akionyesha msimamo wake na kusapoti maamuzi yaliyofikiwa juu ya Lowassa ambapo litafanyika rasmi siku ya utambulisho rasmi wa mgombea wa uraisi kupitia UKAWA na ufunguzi rasmi wa kampeni nchi nzima ambapo mwendo utakua mchakamchaka mpaka uchaguzi.

SIASA NI MIPANGO,MIKAKATi NA SAIKOLOJIA.
Kama hiyo ndio mikakati yao ya kisiasa basi watakua wameshindwa kwasababu kuna wana-CHADEMA na wana-UKAWA wanahama makundi kwa makundi yaani kama Nyumbu wahamavyo kutoka mbuga moja kwenda nyingie, kutokana na ukimya wa Dk. Slaa na Mnyika ambao umetafsiriwa na wana-CHADEMA hao wenye akili timamu kama USALITI dhidi yao.
 
we hujielewi,nadhani dr slaa jana kakanusha hana mpango wowote anaoufanya kwa sasa,acheni uzushi na chukueni maneno yake
 
Tangu el ajiunge cdm,mazungumzo ktk maeneo mengi ni juu ya chadema! Kuanzia mitaani,maofisini,vijiweni nk.

Kwa sasa issue inayomhusu dr.slaa nayo imeongeza chachu ya chadema kuwa midomoni mwa watu zaidi.

Ccm wanaendelea na kura za maoni,lkn km vile hakuna kinachoendelea wala mgombea wa ccm hazungumzwi tena! Hata ccm wenyewe wamejikuta wakiongelea zaidi chadema kuliko mambo yao wenyewe.

Najaribu kufikiria,km dr.slaa anachofanya ni mbinu ya kukiimarisha chama chake,itakuwa ni mbinu kabambe maana atakuwa amefanikiwa sana kuwahamisha watu ktk kila jambo na kuongelea cdm.

Siku akijitokeza huyu mzee na kutoa hotuba ya kusisimua km anavyojulikana kisha akaanza kwenda majukwaani kumtangaza lowassa,chadema na ukawa tar.25 oct.watashinda mapema sana!

Haya ni maoni yangu binafsi.
 
Kila mtu anauhuru wa kutoa maoni yake, ili mradi tu usivunje sheria za Tanganyika.
 
Back
Top Bottom