saudari
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 2,655
- 2,783
saudari, asante sana
kwa kuwa moyo wangu uko salama siogopi sana,
japo majereha ni mengi na mengine yanachoma hadi moyoni,
but nipo tu.
Hivi unajua "Asiye na jeraha hucheka kovu?" Hii ndio sababu nami nimekuuliza kuhusu majeraha yako.
Huyu ladyfurahia amekimbilia wapi kwamaana nataka nianzishe jitihada juu yake, si unajua "Jitihadi haiondoi kudura".
Last edited by a moderator: