dismynder1
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 328
- 168
....mpaka siku ya idi.....
Debe tupu..................... weka dengu
hahahahaaaa!!swhiba umenivunja mbavu zangu!!
....mpaka siku ya idi.....
Debe tupu..................... weka dengu
ataambulia chuyaa......
ladyfurahia, zamani wakati nasoma niliona hivi vitu hapo juu,
- Nahau - ni semi zenye kitenzi (virai vitenzi)
- Methali ni aina ya usemi wa kisanii wa kimapokeo unaofikiriwa na jamii kuwa wa kweli na unaotumiwa kufumbia au kutolea mfano na huwa umebeba maana pana kuliko maneno yenyewe yanayotumiwa.
- Misemo - ni semi zisizokuwa na vitenzi
- Ushairi ni utungo wa kisanaa unaotumia lugha teule na mpangilio fulani wa maneno badala ya kutumia lugha natharia(mflulizo).
sijui kama mwalimu saudari bado wanavifundisha. Ulichoandika ni mojawapo ya hivyo hapo.
kwa mfano hii hapa chini ni methali yangu kwa leo.
Kila ndege huruka kwa bawa lake.
Hivi unajua A lover has no scruples(faults).
Cha mtu.....
Mficha.....hazai
Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
sasa umelonga waambie wenzako hivyo vikao vya kamati ya kudhuru Jiwe Linaloishi waende kwake wakamalizie
Hali bokoboko
mkaidi hafaidi.....?
​hahahahaaaa!!na usilolijua sawa na usiku wa giza!!
​katrina imepita eeeh hahahaa!!
ukiona anachungulia (chabo)...ujue haoni vizuri..hahahaha ujue washamnywa mchuzi au kumfuturu
hizi tafisiri za neno kwa neno ndo zinaharibu lugha,
mzima lakini ticha wangu.
Mimi mzima mamito wangu, naamini nawe "u" buheri wa afya.
Naamini majereha uliyoyapata siku za karibuni yameanza kufutika moyoni mwako, hapo ndipo ninapoamini ule usemi
usemao "It is better to lose your eyesight than to lose heart."
Vipi mrembo wetu haujambo?