Mijisemo Mingine

Mijisemo Mingine

jamani tupeni misemo na methali hapa kwanini mnaleta kamati ingine wakati kamati hii haijaisha? halafu nitawapeleka milembe yaelekea nyie kichwani tayari

haya hiyo hapo " kujenga ukweni ni sawa na....................!!! (a) kujenga kwenye hifadhi ya barabara (b) kujenga kwenye hifadhi za mbuga za wanyama. chagua jb sahihi
 
Back
Top Bottom