Mijimama kumbe nomaaa

Mijimama kumbe nomaaa

Huwa kila siku nasema: ' it takes 2 to tango" Utakuta vijana wengine want easy way out bila wao kufight kutafuta hela. Ni malezi na maadili ya mtu. Kama vile dadaz wataprefer wanaume wenye hela " no money no love". Labda iwe somo shuleni, maana dunia ni school for hardknocks...
 
Yaani ni hatari sana ,nimechunguza mijimama mingi inayochukua vijana imefiwa na waume zao waliofariki kwa ngoma.
Pia mijima hiyo haitaki kabisa kusikia kwenda kupima ngoma na pia inapenda nyama kwa nyama.
Vijana wawe makini % kubwa ya mijimama inasambaza ngoma dizaini kama mafataki.
Nawasikitikia sana hao vijana wanaopenda maisha matamu ya muda mfupi.
 
Lakini si kuna tofauti kati ya jimama/sugar mummy na mpenzi aliekuzidi umri tu. and how many years is too many?
 
Sikilizeni jamani, tusipende kulaumu tu lazima tutizame hali halisi. Kuto.mbana ni kitu muhimu sana kwa kila mwanadamu, hawa kina mama wanajichukulia Serengeti boys because waume zao wako bize na Serengeti girls. Utakuta mwanaume miaka 60 anachapa kajukuu cha miaka 18-20 dizaini ya Lundenga na kamati yake ya umiss TZ. Mwanaume anatoka nyumbani asubuhi kaacha 10,000 huko mfukoni ana 300,000 za kutanulia na Serengeti girl jijini baada ya kazi na mama kamwacha ana nyege huko nyumbani...swali, huyu mama afanyeje? Kumbukeni, vidole pekee haviondoi raha mwanana na wazee akipiga kimoja ahamki mpaka keshoooo!
 
Ukweli kama kijana unajituma unafanya kazi na pesa yakutanulia mjini haipigi chenga huwezi kuwaza jimama bwana'
Kwanza hayana mvuto bwana,naamini hata vijana wengi wapenda mijimama wapo kimaslahi tu lakini sio kwa mapenzi,vijana tufanye kazi jamani majimama yatatumaliza,
 
Muwaokoe kweni wamebakwa, si wameamua wenyewe. Acheni uzushi.
 
Muwaokoe kweni wamebakwa, si wameamua wenyewe. Acheni uzushi.

kweli ndugu...
Tamaa yetu wenyewe vijana na kujitoa woga na kuona kila kitu chawezekana...
Ila ndo huo mtandao sasa...
2sipokuwa makini twaweza jikuta kama sio Baba zetu,basi mama zetu 2meshatembea nao kupitia huu mtandaoo...!2naikwepaje laana kubwa namna hii ?
Twafaaaaaaa...
 
Wazazi wengi wako bize kuwapa elimu ya mahusiano watoto wa kike, wa kiume bora liende ndo maana mijimama inajitwalia bila ukinzani wowote na jamii haisemi kitu.
 
Kwani wale wa kike huwa wote wanabakwa? Suala hapa ni kutazama well being ya hawa vijana especially wale ambao bdo hawajafikia 18yrs.
 
Jimama manake umri uwe umeenda na halafu ni mnene pia. Kama umri umeenda lakini sio mnene utakuwa mmama.
Kama umri mdogo lakini mnene utakua bonge!!

Hawa vipi ni mi-jimamama au mi-mama (waweza kujua mimi ni yupi kati ya hao)???

Big Mamas.jpg
 
Katika kipindi cha Mboni Talk Show cha EATV ambacho kipo hewani sasa wanajadili mijimama inayopenda vijana wadogo (Serengeti Boys). Yupo kijana anatoa ushuhuda kuwa jimama lale halikuwa na choyo yoyote katika mapenzi alikuwa anatiririka katika mwili wa jimama bila kizuizi.

Je tutumie njia zipi ili kuwaokoa vijana wetu wasinase kwenye mitego yao.
Sasa hapo kosa ni nini?
 
Ujue nashindwa kuwaelewa mm naunga mkono hoja ya mchangiaji hapo juu napenda kuwambia mapenzi hayachagui na kumzidi umri mwanaume si tatizo kwa wale walio kwenye mapenzi ya kweli hao wasichana wenyewe mnawasema wanalala na vibabu acheni kuwasemanga wanawake bana ukiona hivyo umetoswa umeamua kuleta jf maisha yanaenda bana wache.
 
Muwanusuru na visichana vidogo vinavyotembea na vibabu sijui wenyewe kama mtaweza kuleta hyo nusura hamna kazi za kufanya hasa nimeolewa na
 
Nimeolewa na mwananaume nsmzidi miaka kumi nimezaa nae watoto wawili raha tupu mm wala sina pesa ni mapenzi tu mumo apo

Kwaheri.
 
kazi kweli tushabikie kuwa vijana wawe na mijimama imeoza ukiona inang'ng'ania vijana huko chini kulisha liwa na mchwa na hata magonjwa ni ya kuonga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom