Mijimama kumbe nomaaa

kazikubwa

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
597
145
Katika kipindi cha Mboni Talk Show cha EATV ambacho kipo hewani sasa wanajadili mijimama inayopenda vijana wadogo (Serengeti Boys). Yupo kijana anatoa ushuhuda kuwa jimama lale halikuwa na choyo yoyote katika mapenzi alikuwa anatiririka katika mwili wa jimama bila kizuizi.

Je tutumie njia zipi ili kuwaokoa vijana wetu wasinase kwenye mitego yao.
 
Wakati umefika wa wazazi au walezi kuwatahadharisha vijana wao na mambo kama haya pia kuwaeleza changamoto
mbali mbali ambazo wanaweza kukumbana nazo huko mitaani.
Wazee wakikaa kimya basi ndio balaa lake hilo!
Kuna ndugu yetu mmoja aliwapelekea wazee wake mchumba jimama la nguvu akasema aozeshwe huyo2 tu, wazee
wakamaliza janja zao zote, ikabidi wamuozeshe tu!! jamaa hadi leo hii yuko nae. it is a bit sad.. dogo hajaenjoy
kabisa vile vi-tight!!!
 
We mijimama isikie tuuuuu! Vijana nyie jipelekeni tuuuu! Kuna kijana alijifanya kauzu huyooo, kachukua jimaa la Kino huku kwenda kupiga kazi KASHANGAA MPAKA VIPIRA VIMEZAMAAAA!!!!!!!!!!! Katoka mbio bila nguo!!!! Kama mwehu! Toka tukio hilo, kakomaaaa! Mtu mwlili engine ya vitz afu unavamia Catapiller!!!!!!! LAZIMA UMEZWEEE!
 
elimu ya kujitambua ktk nyanja hizi,uchumi(tujitume),utandawazi(tutazame vitu chanya) na maadili kwa jamii nzima .
 
Wazazi wenyewe ndio vinara wa kuchukua dogodogo sasa sijui atakae mtahadharisha mwenzake nani hapo mama anaechukuliwa na serengeti boys au kijana anaechukuliwa na jimama
Wakati umefika wa wazazi au walezi kuwatahadharisha vijana wao na mambo kama haya pia kuwaeleza changamoto
mbali mbali ambazo wanaweza kukumbana nazo huko mitaani.
Wazee wakikaa kimya basi ndio balaa lake hilo!
Kuna ndugu yetu mmoja aliwapelekea wazee wake mchumba jimama la nguvu akasema aozeshwe huyo2 tu, wazee
wakamaliza janja zao zote, ikabidi wamuozeshe tu!! jamaa hadi leo hii yuko nae. it is a bit sad.. dogo hajaenjoy
kabisa vile vi-tight!!!
 
We mijimama isikie tuuuuu! Vijana nyie jipelekeni tuuuu! Kuna kijana alijifanya kauzu huyooo, kachukua jimaa la Kino huku kwenda kupiga kazi KASHANGAA MPAKA VIPIRA VIMEZAMAAAA!!!!!!!!!!! Katoka mbio bila nguo!!!! Kama mwehu! Toka tukio hilo, kakomaaaa! Mtu mwlili engine ya vitz afu unavamia Catapiller!!!!!!! LAZIMA UMEZWEEE!

Hiyo kali ila niliwahi kusikia kwamba mwanaume anaweza kumkimbia jimama maana huo mzigo sometimes....
 
Wazazi wenyewe ndio vinara wa kuchukua dogodogo sasa sijui atakae mtahadharisha mwenzake nani hapo mama anaechukuliwa na serengeti boys au kijana anaechukuliwa na jimama

Ikitokea hivyo basi hiyo familia itakuwa haina dira!! ila kwa wale wenye mwelekeo basi wafanye hivyo mara moja!
 
y tuwaoke jamani wakati wanatoaa service ya ukweli. serengeti boys wanatoa dozi kamili mama analea boy.

mbona wanaume tunalea gfs wao wanatoa utamu...its just the reverse jamani msipege kelele. haki sawa kwa wote.
 
Wale mlio upande wa age is nothing kwenye debate msiji contradict hapa...

Mimi mwanangu ntaanza kumkanya angali mdogoa kuwa si vizuri kumpenda msichana aliye juu yake ki umri....

wanaanzaga hivo hivo mara nina girlfriend kanizidi miaka mitatu; wakiachana anaamia kwa alomzidi miaka mitano...baadae wanatembea na wake za watu...kwa ufupi kupenda mwanamke alokuzidi ni kasoro kisaikolojia...ni utegemezi...unapenda kulelewa...unapenda kuwa na wa kuku care etc....mwanamme unakuwa kama binti...unategemea utapenda wa size yako? thubutu....
 
Nimependa definition yako....Uko makini...sijuhi umeitoa wapi lakini nimeikubali...

Jimama manake umri uwe umeenda na halafu ni mnene pia. Kama umri umeenda lakini sio mnene utakuwa mmama.
Kama umri mdogo lakini mnene utakua bonge!!
 
Wakati umefika wa wazazi au walezi kuwatahadharisha vijana wao na mambo kama haya pia kuwaeleza changamoto
mbali mbali ambazo wanaweza kukumbana nazo huko mitaani.
Wazee wakikaa kimya basi ndio balaa lake hilo!
Kuna ndugu yetu mmoja aliwapelekea wazee wake mchumba jimama la nguvu akasema aozeshwe huyo2 tu, wazee
wakamaliza janja zao zote, ikabidi wamuozeshe tu!! jamaa hadi leo hii yuko nae. it is a bit sad.. dogo hajaenjoy
kabisa vile vi-tight!!!

akiwa mzazi/mlezi wako sawa,akitoka tu nje ya nyumba ni jimama kwa mwingine
 
Back
Top Bottom