Miji yenye wanaume wenye mvuto (handsome)

Miji yenye wanaume wenye mvuto (handsome)

Wanaume hawa hawa wa Dar ndio wanaona mtu anaibiwa mchana wanafunga vioo gari zao na kuanza kujamba....hawa hawa wanaomuona scorpion na kumuamkia leo eti ndio wa kwanza uhandsome...mwanaume ni ujasiri...uwezo mkubwa wa kukabili mambo mazito kama kumkabili scorpion ambae Mkoa kama Mara angepigwa na akinamama tu...ofcoz la mhimu pia pesa baaaasi sura kauzie huko nollywood
Wewe umenena
 
Arusha inaongoza, machalii wa Arusha wazuri wa sura, wazuri sio utani
 
1, Dar-es-salaam
2, Arusha
3, Mwansa
4,Mbeya
5, Moro
Mkoa wa wanaume tu ndo utawapata.Ikiwa unamaanisha wale wanaopaka lotion,kuoshwa miguu,kujicream naweza kukubaliana na wewe
 
Sifa ya mwanaune ni dollar+ ustadi wa kupiga game. Kama hu-meet izo vigezo u are nothing HB!
 
Mwanaume hata kama pua iko kisogoni na una domo kama yule mwanamziki,sifa zipo mbili tu,,,kwanza ujue kupiga game na uwe na hela basi.
 
Hizi stori utazikuta kwa wanaume wa Dar wakiwa wamekaa kwenye vijiwe vya kahawa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom