long live my love
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 1,083
- 1,037
Bora mkoa wangu haupo. Sipendi dharau. Mwanaume anakuaje mzuri kwa mfano??
ndio wapi hukoMwansa
😛😀Acheni wivu vijana wa mikoani..hao wachafu sio wazaramo, ni hao hao vijana wenzenu wanaotoka mikoani kuja kutafuta maisha mjini ,asili ya wenyeji wa Dar/Pwani ni usafi, kujipenda,wanaokwenda na wakati(fashion) na kiasili ni Ma- HB (wanaume) ma-beauty(kwa wanawake)ndio maana hata vi-house girl vikitoka huko kwenu mikoani baada ya wiki kadhaa vina-adopt tabia ya usafi wa Dar na vikirudi kijijini vinang'arisha na vinakuwa vinatakata.
mtoa mada wanaume wote ambao sio maHB tunakupenda tena sana .1, Dar-es-salaam
2, Arusha
3, Mwansa
4,Mbeya
5, Moro
Dah...eti mwanaume ana mvuto...amvutie nani hasa? Mburaaa[emoji35]Bora mkoa wangu haupo. Sipendi dharau. Mwanaume anakuaje mzuri kwa mfano??