Miji yenye wanaume wenye mvuto (handsome)

GOMBANIENI UHANDSOME WAKATI NGUO, VIATU, NA HATA GARI UNAAZIMA KWA MSHIKAJI

MAHANDSOME WENGI HAWAJIWEZI ON BED
 
basi sio

ni haja ya kutaja mji maana kuna wazaramo wachafu hawana ata uhandsom ila wakisikia ha jiji limetajwa wanavimba vichwa.
Mimi nimeongelea majority.Kuna wasukuma wako smart. wamakonde, wachaga, wahaya, NK. Lakini sio kila msukuma, mmakonde, mchaga, mhaya, NK ni smart kuna makonde ukiambiwa huyu ni mmakonde unakataa.
 
Twaweza ndo chanzo cha tafiti kuwa nyingi kipind hiki
 
Mimi nimeongelea majority.Kuna wasukuma wako smart. wamakonde, wachaga, wahaya, NK. Lakini sio kila msukuma, mmakonde, mchaga, mhaya, NK ni smart kuna makonde ukiambiwa huyu ni mmakonde unakataa.
t

atizo lako umetaja majiji tu. au ndiko ulipoishia kutembelea tu?
 
Majiji sio ndio kila kitu ulitaka nitaje vijiji wakati hukokuna wakulima tangu lini mkulima wakijijini akawa smart
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom