Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,402
- 191,522
hahahahahahhahahahahah we jamaa funga kaziii...Aisee nimecheka mno!!!!Wanaume hawa hawa wa Dar ndio wanaona mtu anaibiwa mchana wanafunga vioo gari zao na kuanza kujamba....hawa hawa wanaomuona scorpion na kumuamkia leo eti ndio wa kwanza uhandsome...mwanaume ni ujasiri...uwezo mkubwa wa kukabili mambo mazito kama kumkabili scorpion ambae Mkoa kama Mara angepigwa na akinamama tu...ofcoz la mhimu pia pesa baaaasi sura kauzie huko nollywood