Miji yenye wanaume wenye mvuto (handsome)

Miji yenye wanaume wenye mvuto (handsome)

Ndiyo maana mdogo mdogo wangu alimkataa mwanaume wa dar akaolewa na mwanamme wa Mara kumbe aliona mbali maana mwanamme rijali hashindanii uzuri na kujipaka poda bali KAZI.
 
Marufuku kuweka mkoa wa kanda ya ziwa kwenye list ya wapaka poda, iondoe Mwanza haraka.
 
Mvuto kweny suruali ndg.
Sura haisaidii kitandani.
 
kuna usmart wa asilia na usmart wa kushindia kwenye kioo. naona unajivunia usmart wa kushindia kwenye kioo, all the best.
Acheni wivu vijana wa mikoani..hao wachafu sio wazaramo, ni hao hao vijana wenzenu wanaotoka mikoani kuja kutafuta maisha mjini ,asili ya wenyeji wa Dar/Pwani ni usafi, kujipenda,wanaokwenda na wakati(fashion) na kiasili ni Ma- HB (wanaume) ma-beauty(kwa wanawake)ndio maana hata vi-house girl vikitoka huko kwenu mikoani baada ya wiki kadhaa vina-adopt tabia ya usafi wa Dar na vikirudi kijijini vinang'arisha na vinakuwa vinatakata.[/QU
 
Ndiyo maana mdogo mdogo wangu alimkataa mwanaume wa dar akaolewa na mwanamme wa Mara kumbe aliona mbali maana mwanamme rijali hashindanii uzuri na kujipaka poda bali KAZI.
Kaka nimecheka sana. Mbavu zinaniuma. Sikuwahi kujua kama kuna wanaume wazuri wa sura. Ndo najua sasa kwa nini wanaume mashoga wengi wako Dar. Halafu mwanaume anaandika uzuri wa wanaume wenzake, hii nayo kiboko. Shikamoo wanaume wa Dar
 
yaani Dar ni Babeli ndogo, kuna best yangu alisomea Dar form 5 & 6 tulipokutana chuoni, nilimshangaa sana maana alikuwa na mambo kama hayahaya ya kwenye hii posti.
 
Dah...mtahangaika sana....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
1477212177099.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom