[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watu mna utani sanaKwa akina HB did q
duuuh... umenfanya nicheke barabaran kama kichaaa[emoji23] [emoji23]Wanaume hawa hawa wa Dar ndio wanaona mtu anaibiwa mchana wanafunga vioo gari zao na kuanza kujamba....hawa hawa wanaomuona scorpion na kumuamkia leo eti ndio wa kwanza uhandsome...mwanaume ni ujasiri...uwezo mkubwa wa kukabili mambo mazito kama kumkabili scorpion ambae Mkoa kama Mara angepigwa na akinamama tu...ofcoz la mhimu pia pesa baaaasi sura kauzie huko nollywood
Hapo hapo Dilemma chukua daladala ziendazo Mwansa lolMwansa n wap jmn anaepajua uko mm nko dilemma
Haya shemeMiss chaga ni Dar shemeji ndio kila kitu.
Mwanaume kujisifia uzuri ndo point yanguKwa mtazamo wako na dhani,kwani unathani mashoga wote wanasura nzuri eeh! zidi kuchunguza utaona na utashangaa..
Kingwendu mkoa wa pwani sio dar[emoji23]Wazaramo?? Kina kingwendu??
Umemsahau DUDU BAYA...hapo pa mwanza,hapana huu utafiti sio kweli,mnamfaham PNC,FidQ,Hardmad,Mad ice? hivi hawa ni ma HB? mwanza ina watu wagumu sura balaa,hatar!
hahahha,umeona mkuuUmemsahau DUDU BAYA...