Miji kumi hatari Duniani 2013

Miji kumi hatari Duniani 2013

MHhhh, kwa wale mabilionea waliokufa,Arusha inastahili kuwepo katika top ten.
 
Kwa hapa Tanganyika nafikiri kule kwa akina Marwa na Chacha ni hatari zaidi..... ila hapo San Pedro Sula ni zaidi ya hatari karibia kila mwaka wao ni watabe..

Hao wa Arusha mkiwapeleka hata Musoma watajuta kuzaliwa.... huko kwingine sijui tandale, ufipa ni mateja ndio wamejazana.
 
SAHARA_Mwanza kwenye ile milima ya bugando
 
New Orleans kwa kina Lil' wayne noma sana.

====================
Ukipata Ujumbe wa Chuki Matusi Futa Delete Kabisa.
====================
 
Back
Top Bottom