LTK
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 267
- 99
- Thread starter
- #61
Ni kweli mkuu, maana hawajamaa jinsi walivyo kua hatari ilibidi hata mmarekani kujenga ukuta mpakani mwao kudhibiti illegal movement.
mkuu bado sana
tindikali tu....
Huko mexico watu wanatembea na ak 47 mitaani kumsindikiza drug loads
huko ndiko kuna ma organised crime kama ulishawahi kusikia
mijitu kule inamiliki jeshi la majambazi
polisi wakizingua watu wanawavamia kituo cha polisi
polisi mmoja akileta unoko yeye na familia yake wanachomwa moto
huku majirani wakiona na hawana cha kufanya kwani kunakuwa ni watu kama 30 na wote wana ma ak 47 huu unga wa kina masogange wao ndio wanatengeneza ndio (manyangumi) wenyewe wa drugs wenyewe sio hawa kina iddi azan (sato) na
masogange ndio (dagaa)
nashangaa kwanini fukuoka- japan haimo maana hapo ndio makao makuu ya washenzi moja wanoitwa
yakuza