Miji kumi hatari Duniani 2013

Miji kumi hatari Duniani 2013

Darfur-sudan
gulu-uganda

ukisema tandale na thread inazungumzia miji sielewi great thinkers.
 
Naona haya maeneo ya Darfur na Gulu kwa hivi sasa yametulia kidogo, maana hata Mogadishu napo palikua hatari sana.

Darfur-sudan
gulu-uganda

ukisema tandale na thread inazungumzia miji sielewi great thinkers.
 
Nadhani hii imepitwa na wakati,ya sasa lazima Unguja itakuwepo,kutokana na matukio ya kinyama yanayotokea.
 
soon dar and zanzibar will top up the list

mkuu bado sana
tindikali tu....

Huko mexico watu wanatembea na ak 47 mitaani kumsindikiza drug loads
huko ndiko kuna ma organised crime kama ulishawahi kusikia

mijitu kule inamiliki jeshi la majambazi
polisi wakizingua watu wanawavamia kituo cha polisi

polisi mmoja akileta unoko yeye na familia yake wanachomwa moto

huku majirani wakiona na hawana cha kufanya kwani kunakuwa ni watu kama 30 na wote wana ma ak 47 huu unga wa kina masogange wao ndio wanatengeneza ndio (manyangumi) wenyewe wa drugs wenyewe sio hawa kina iddi azan (sato) na
masogange ndio (dagaa)

nashangaa kwanini fukuoka- japan haimo maana hapo ndio makao makuu ya washenzi moja wanoitwa

yakuza
 
  1. San Pedro Sula - Honduras
  2. Ciudad Huarez - Mexico
  3. Maceio - Brazil
  4. Acapulco - Mexico
  5. Sharm el Sheikh
  6. Kuala lumpur - Malaysia
  7. Johannesburg - South Africa
  8. Caracas - Venezuela
  9. Marrakesh - Morocco
  10. New Orleans - USA

Source: 10 dangerous cities in the world 2013 | Multiversiti

Ajabu mbona nyingi ni latin America? sijui ni kwa sababu ya unga?
Imagine hata Bagdad na Mogadishu hazipo
Interesting kujua vigezo
 
CTU kweli umechangia vzr...
ila mexco ni noma... yaani wana miji 2 hatari ktk orodha ya dunia... co pakwenda !!
 
mkuu bado sana
tindikali tu....

Huko mexico watu wanatembea na ak 47 mitaani kumsindikiza drug loads
huko ndiko kuna ma organised crime kama ulishawahi kusikia

mijitu kule inamiliki jeshi la majambazi
polisi wakizingua watu wanawavamia kituo cha polisi

polisi mmoja akileta unoko yeye na familia yake wanachomwa moto

huku majirani wakiona na hawana cha kufanya kwani kunakuwa ni watu kama 30 na wote wana ma ak 47 huu unga wa kina masogange wao ndio wanatengeneza ndio (manyangumi) wenyewe wa drugs wenyewe sio hawa kina iddi azan (sato) na
masogange ndio (dagaa)

nashangaa kwanini fukuoka- japan haimo maana hapo ndio makao makuu ya washenzi moja wanoitwa

yakuza

ha ha ha ha ha hapo kwa idd azan aka sato na masogange aka dagaa umeniacha hoi mkuu
 
Ajabu mbona nyingi ni latin America? sijui ni kwa sababu ya unga?
Imagine hata Bagdad na Mogadishu hazipo
Interesting kujua vigezo

bagdad na mogadishu wanatumia nguvu sana na kujificha yaani wakifanikisha kamlipuo kamoja wanafanya matangazo....ila huko mexicano ni noma kuanzia dogo unamkuta kakomaaa na AK 47 na kwenye vikwapa ana barreta na glog za kutosha ukizingua ni kuanzia babu yako hadi wajukuu wote anamaliza.......
 
mkuu bado sana
tindikali tu....

Huko mexico watu wanatembea na ak 47 mitaani kumsindikiza drug loads
huko ndiko kuna ma organised crime kama ulishawahi kusikia

mijitu kule inamiliki jeshi la majambazi
polisi wakizingua watu wanawavamia kituo cha polisi

polisi mmoja akileta unoko yeye na familia yake wanachomwa moto

huku majirani wakiona na hawana cha kufanya kwani kunakuwa ni watu kama 30 na wote wana ma ak 47 huu unga wa kina masogange wao ndio wanatengeneza ndio (manyangumi) wenyewe wa drugs wenyewe sio hawa kina iddi azan (sato) na
masogange ndio (dagaa)

nashangaa kwanini fukuoka- japan haimo maana hapo ndio makao makuu ya washenzi moja wanoitwa

yakuza

Mkuu nimefurahia sana uchambuzi wako, BIG UP!
 
Back
Top Bottom