dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,419
- 19,448
Nimekumbuka watu wazima humu walivyo ingizwa mjini na bwana mdogoFungua account ya kutrade FOREX kwa blocker Templer, weka huo mtaji then nitumie accounts detail nimanage accnt... Profit tunashare 50/50 weekly
Kwa huo mtaji profit ni Tsh300000 kila wiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo madudu Fanya wewe mwenye uzoefu wa kupata faida ya laki tatu kila wiki kwa kuwekeza million moja ingawaje uhalisia sio kweli watu wanaotaka kufanya biashara waache wafanye biashara usiwaingize kwenye matatizo hayo...hela sio rahisi kihivyo...Fungua account ya kutrade FOREX kwa blocker Templer, weka huo mtaji then nitumie accounts detail nimanage accnt... Profit tunashare 50/50 weekly
Kwa huo mtaji profit ni Tsh300000 kila wiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh waacha weehFungua account ya kutrade FOREX kwa blocker Templer, weka huo mtaji then nitumie accounts detail nimanage accnt... Profit tunashare 50/50 weekly
Kwa huo mtaji profit ni Tsh300000 kila wiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo unataka filisi hata iyo 1mil
Tafadhali mkuu naomba ufafanuzi hapaTumia nusu ya mtaji ukionao,wekeza uanze kujipatia faida ya laki na nusu kila baada ya wiki mbili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inabidi nikuulize maswali mawili matatu au zaidi....
Mkuu fuata ushauri huu ndio the best.Fungua duka la vyakula mzee hiyo hela ni ndogo kwa kipindi hiki ila kwa biashara ya chakula ni nyingi hiyo
Hawa jamaa nikiwafikiliaga huwa nashindwa kuwaelewa kabisa..Kalipie kwanza TRA sh 150,000 ndio upange biashara zako maana kodi hulipwa hata kama hujaanza biashara. hii TRA ya nchi yetu sijui, hata hujajua biashara ila wanajua tu mtaji wanakukadiria kodi
Ni mawazo nitayapokea ili nichanganye na yangu
Kalipie kwanza TRA sh 150,000 ndio upange biashara zako maana kodi hulipwa hata kama hujaanza biashara. hii TRA ya nchi yetu sijui, hata hujajua biashara ila wanajua tu mtaji wanakukadiria kodi
DuuhKodisha vyumba kumi vya elfu 30 kwa mwezi means laki moja na elfu 80 kwa miezi sita tafta malaya wapangishe nunua nitanda kumi vya laki na themanini pamoja na godoro jumla milioni 3 na laki sita tafuta malaya wazoefu kila siku wakulipe elfu kumi tuu maana yake kila siku laki mara mwezi laki tatu kwa vyumba kumi milioni 3 mara miezi 6 milioni 18 utaneemeka amini hivo
Kodisha vyumba kumi vya elfu 30 kwa mwezi means laki moja na elfu 80 kwa miezi sita tafta malaya wapangishe nunua nitanda kumi vya laki na themanini pamoja na godoro jumla milioni 3 na laki sita tafuta malaya wazoefu kila siku wakulipe elfu kumi tuu maana yake kila siku laki mara mwezi laki tatu kwa vyumba kumi milioni 3 mara miezi 6 milioni 18 utaneemeka amini hivo