Mijadala ya Mawazo na Michanganuo mbalimbali ya Biashara na Uchumi kwa Ujumla

Fungua account ya kutrade FOREX kwa blocker Templer, weka huo mtaji then nitumie accounts detail nimanage accnt... Profit tunashare 50/50 weekly

Kwa huo mtaji profit ni Tsh300000 kila wiki

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo madudu Fanya wewe mwenye uzoefu wa kupata faida ya laki tatu kila wiki kwa kuwekeza million moja ingawaje uhalisia sio kweli watu wanaotaka kufanya biashara waache wafanye biashara usiwaingize kwenye matatizo hayo...hela sio rahisi kihivyo...
 
Fungua duka la vyakula mzee hiyo hela ni ndogo kwa kipindi hiki ila kwa biashara ya chakula ni nyingi hiyo
Mkuu fuata ushauri huu ndio the best.
Ndio biashara pekee ambayo at least ina garantii kwa wakati huu mgumu,ingawa faida zake ni ndogo ndogo but itakusaidia kupata hela za kula.
Hela uliyonayo ni ndogo sana kwa hyo ukijichanganya kuingiza sehem nyingine umeliwa.
Kila la heri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi Tayari, tafadhari marafiki mawazo yenu ili tukwamuane kiujasiriamali.
 
Kalipie kwanza TRA sh 150,000 ndio upange biashara zako maana kodi hulipwa hata kama hujaanza biashara. hii TRA ya nchi yetu sijui, hata hujajua biashara ila wanajua tu mtaji wanakukadiria kodi
 
Hawa jamaa nikiwafikiliaga huwa nashindwa kuwaelewa kabisa..

Hata ukiwaelezea vipi watakupinga tu,hadi ukubali makadilio yao yasiyo na uhalisia,wanaboa sana.
 
Kalipie kwanza TRA sh 150,000 ndio upange biashara zako maana kodi hulipwa hata kama hujaanza biashara. hii TRA ya nchi yetu sijui, hata hujajua biashara ila wanajua tu mtaji wanakukadiria kodi

Nipe idea Kaka.
 
Kodisha vyumba kumi vya elfu 30 kwa mwezi means laki moja na elfu 80 kwa miezi sita tafta malaya wapangishe nunua nitanda kumi vya laki na themanini pamoja na godoro jumla milioni 3 na laki sita tafuta malaya wazoefu kila siku wakulipe elfu kumi tuu maana yake kila siku laki mara mwezi laki tatu kwa vyumba kumi milioni 3 mara miezi 6 milioni 18 utaneemeka amini hivo
 
Duuh
 
kweli penye wengi pana mengi

Mim nakushauri ununue ardhi ukimaliza kitakusaidia ,na baadae utamaliza chuo utauza kwa bei nzurii
 
Back
Top Bottom