Mihadhara ya namna hii ni sahihi...?

Status
Not open for further replies.
Mihadhara unayosema hakuna debate - bali huwa mnapenda nyie tu mushinde kwenye huo mhadhara na mkiishiwa hoja mnaanza kuwaita wengine makafir. Na ndiyo maana mkikutana na wengine wanaanza kuwaita pia magaida na kisha mhadhara wenyewe unageuka kuwa ugomvi maana mnapenda kuwaita wasiokubalina nayi makafir na wao wakiwaita maghaidi mnachukia.
Kumbe sikujua uko terrified sorry waache watu-fanye debate kama unaogopa usiwasikilize kaa pembeni
makafir maana yake ni watu wasioamini siyo neno baya kwako (iko kwenye kitabu)
Ukiita mtu ni gaid huo ugomvi maana lazima u-prove ameku-terrify
 
Hivi humu JF kuna waislamu? Mi nilidhani this is The Home of Great Thinkers ONLY!!
 
Kweli, Mungu anaeabudiwa na Wakristo ni tofauti na Mungu anaeabudiwa na Waislamu kwa sababu wakristo wanamwabudu mtu (Bwana Yesu), na waislamu wana mwabudu Mwenyezi Mungu Mmoja tu (Allah).

Shukran.
akili zako zina mafua, huujui ukristo kwa sababu wewe ni muislamu usie na elimu, Nguvumali anaelezea habari za Mungu anae abudiwa na Wakristo na Mungu anaeabudiwa na Waislamu kua ni vitu viwili tofauti, wewe unakalia kupakaza matusi kuwa YESU ni mtu, nambie Yesu alie fufuka na Muhamad alie kaburini nani zaidi, wewe unaheshimu maiti.
Uuungu wa Yesu ni falsafa ambayo kuielewa ni kazi ngumu.
 
Nafikir kabla ya kumshambulia huyu mahmoud kwamba ana akili zenye mafua..nafikiri wewe jipeleke mwenye mirembe.
Huwezi kuelewa yesu alifufuka..ina maana alikufa...inamaana mungu wa wakristo aliwahi kufa..unaona akili yako ilivyo mbovu..ukieleshwa una kasirika ...kwamba kitu chochote kinachokufa hata mara moja hakiwezi kuwa Muumbaji
 
nilisema juu kuwa Falsafa ya Ukristo ni ngumu sana, huwezi kusoma madrasa ukaelewa, ni kitu kizito, kwa Waislamu niwajuao mimi ni tabaka dhalili, utawezaje kuelewa kuwa 1+1=2 ni sawa na 3-1=2
amakweli hii ni dini ya watu duni na dhaifu wa akili.
 
Wakuu, punguzeni kashfa na jazba.

Bakieni kwenye mada.

Tatizo ninalo liona hapa nikwamba, kwanini Ndugu zetu wafuasi wa allah wanapenda kutukana dini ya Mungu, yaani Ukristo? Hivi kwenye Mikutano ya Injili huwa tunahubiri habari za allah au Yesu Kristo?

Kwanini wasifundishe Uislam na habari za Marehemu Muham-mad? Au Uislam ni dini bandia?
 
akili zako zina mafua, huujui ukristo kwa sababu wewe ni muislamu usie na elimu, Nguvumali anaelezea habari za Mungu anae abudiwa na Wakristo na Mungu anaeabudiwa na Waislamu kua ni vitu viwili tofauti, wewe unakalia kupakaza matusi kuwa YESU ni mtu, nambie Yesu alie fufuka na Muhamad alie kaburini nani zaidi, wewe unaheshimu maiti.
Uuungu wa Yesu ni falsafa ambayo kuielewa ni kazi ngumu.

Kweli, falsafa hii kuielewa haiwezekana kwa sababu Mtume mtukufu Yesu sio Mungu yeye ni Binadamu.

Waislamu hawamwabudu Mtume mtukufu Muhammad, Wao wanamwabudu Mungu Mmoja tu, HAKUNA MUNGU ILA MUNGU MMOJA TU NA MUHAMMAD NA YESU NI WATUME WAKE.
 
nilisema juu kuwa Falsafa ya Ukristo ni ngumu sana, huwezi kusoma madrasa ukaelewa, ni kitu kizito, kwa Waislamu niwajuao mimi ni tabaka dhalili, utawezaje kuelewa kuwa 1+1=2 ni sawa na 3-1=2
amakweli hii ni dini ya watu duni na dhaifu wa akili.
Pole wewe kondoo wa bwana...endelee na kuinama kwa dini yako isiyo na kichwa wala miguu..ambayo hata wewe huwezi kuielewa kwakuwa umeshandang'anywa kwamba ni ngumu Uwiiiiiiiii. kuna ugumu gani hapo..wewe ziro tumia akili yako siyo unafuata kama ki-kondoo..ki-kondoo we
 
Kweli, falsafa hii kuielewa haiwezekana kwa sababu Mtume mtukufu Yesu sio mungu yeye ni Binadamu.

Waislamu hawamwabudu Mtume mtukufu Muhammad, Wao wanamwabudu Mungu Mmoja tu, HAKUNA MUNGU ILA MUNGU MMOJA TU NA MUHAMMAD NA YESU NI WATUME WAKE.

Unaona jinsi dini yako inavyo pinga Mungu?

Kushindwa kujuwa kwako au elewa au fahamu kuwa Yesu ni Mungu, kamwe hakubadirishi kitu kuhusu Umungu wa Yesu. Yesu Kristo anabakia pale pale kuwa ni Mungu.

Hivi unaelewa kwanini huu ni mwaka 2009? Ni nani aliyebadilisha mwenendo wa dunia? Hata kwenye Historia huwa mnsoma BC na AD, sasa niambie, kwanini hata Historia imegundua kuwa kuna umuhimu wa kuweka BC na AD?
 
na ndio maana mungu wa waislamu duniani kote ni mungu dhaifu, mwoga na anaepiganiwa na binadamu, huyu si ni tofauti na MUngu wa Wakristo, ambae anakuambia rudisha kisu alani mwake maana Mungu wetu anauwezo wa kujipigania, kama nguvumali alivyosema huko juu kuwa Waislamu wako tayari kumpigania Mungu wao hata tone la mwisho la damu, hii ni aibu, Mungu anapiganiwa, shame on you.
Ukristo hufundishwa kwa hatua, sikwakularirisha watoto, hujengwa kwenye kuelewa na kufikiri, si kwa vitisho.
 
Wakuu, punguzeni kashfa na jazba.

Bakieni kwenye mada.

Tatizo ninalo liona hapa nikwamba, kwanini Ndugu zetu wafuasi wa allah wanapenda kutukana dini ya Mungu, yaani Ukristo? Hivi kwenye Mikutano ya Injili huwa tunahubiri habari za allah au Yesu Kristo?

Kwanini wasifundishe Uislam na habari za Marehemu Muham-mad? Au Uislam ni dini bandia?

Usifikiri umempata mtu hapa, kweli Mtume Muhammad amefariki na watu wote watafariki na hiyo sio aibu, Mungu Pekee ndio ataibaki.
 
Ha ha ha,

Mungu wa wakristo ni yupi si yesu mtu au mwingine?

Embu ondoeni mashoga/lesbians kanisani kabla hamjaja JF kutetea upotevu wenu hapa.
 
Unaona jinsi dini yako inavyo pinga Mungu?

Kushindwa kujuwa kwako au elewa au fahamu kuwa Yesu ni Mungu, kamwe hakubadirishi kitu kuhusu Umungu wa Yesu. Yesu Kristo anabakia pale pale kuwa ni Mungu.

Hivi unaelewa kwanini huu ni mwaka 2009? Ni nani aliyebadilisha mwenendo wa dunia? Hata kwenye Historia huwa mnsoma BC na AD, sasa niambie, kwanini hata Historia imegundua kuwa kuna umuhimu wa kuweka BC na AD?
ataelewa wapi dini inaabudu kwenye MAJINI NA MAPEPO, dini inamungu anaepiganiwa na binadamu, wewe mchore muhammad kesho uone maandamano nchi nzima kisa mwamedi kachorwa, ainu tupu.
 
Ha ha ha,

Mungu wa wakristo ni yupi si yesu mtu au mwingine?

Embu ondoeni mashoga/lesbians kanisani kabla hamjaja JF kutetea upotevu wenu hapa.
ukiona kuna amri imewekwa ujue kuna watu watakao vunja amri hiyo, mashooga hao ni sawa na waislamu tu, hawana tofauti, wote ni motoni.
amri Zote za Mungu zilikuja kwasababu kuna maovu ambayo yapo na yanayokuja, hujui biblia kayumba weeh.
 
kwahiyo umeanza kudharau maaskofu wako huna adabu mtoto wewe? mtanyimwa msaada wa kujenga kanisa..halfu hizo taa mtazipataje?
 
Usifikiri umempata mtu hapa, kweli Mtume Muhammad amefariki na watu wote watafariki na hiyo sio aibu, Mungu Pekee ndio ataibaki.
mwamedi alikufa na ni maiti iliooza tu, hana mamlaka, sasa huyu ni sawa tu na babu yangu, anasubiri hukumu tu.
 
Wakuu, punguzeni kashfa na jazba.

Bakieni kwenye mada.

Tatizo ninalo liona hapa nikwamba, kwanini Ndugu zetu wafuasi wa allah wanapenda kutukana dini ya Mungu, yaani Ukristo? Hivi kwenye Mikutano ya Injili huwa tunahubiri habari za allah au Yesu Kristo?

Kwanini wasifundishe Uislam na habari za Marehemu Muham-mad? Au Uislam ni dini bandia?

Eti wafuasi wa Mungu wanapenda kutukana dini ya Mungu...

Umenichekesha hapa ndugu MaxShimba,

Kwani haujui tafsiri ya Neno "Allah"

Allah is the name of God (Mungu) in Arabic
 
Usifikiri umempata mtu hapa, kweli Mtume Muhammad amefariki na watu wote watafariki na hiyo sio aibu, Mungu Pekee ndio ataibaki.

Ni wapi kwenye Kolani yenu iliyo jaa shaka panasema kuwa Yesu Kristo amefariki?

Lete aya nione.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom