Mahmood
JF-Expert Member
- Feb 9, 2008
- 7,908
- 2,480
Huyo allah kiumbe wenu ndie aliye watuma kutukana watu? Kwanini hivi?
Ndugu SCHMIDT naona ukweli unauma,
Allah = Mwenyezi Mungu kwa Kiswahili.
Hilo ni jina la Mwenyezi Mungu kwa lugha ya kiarabu.
Huyo allah kiumbe wenu ndie aliye watuma kutukana watu? Kwanini hivi?
aah,Tumain..... NINACHOJARIBU KUJENGA NI KUA MIHADHARA , ILA HII YA TANDIKA, tEMEKE , MBAGALA HUKO , INAKERO SANA, KWANINI ISIFANYIKIE MAENEO YA NDANI KAMA dIAMOND. SASA KUNILAZIMISHA NISILALE KISA SHEHE PONDA ANANIAMBIA YESU SI MUNGU , THAT NOT FAIR, NA NDIO MAANA KINA PONDA WANAENDA MAENEO DUNI WAKIDHANI WATAPATA WAJINGA.
PIA UKINIAMBIA YESU SI MUNGU , UWE TAYARI KUAMBIWA ALLAH WA AWQURAN NI JINI, AMA MUHAMAD SAW SI MTUME ILA ALIKUA MMBANGAIZAJI, MSIPROVOKE, MAANA MIMI NIKIWA DAR NILIKULIA MAENEO YENYE VURUGU HIZO....Mihadhara hadi saa 5
Kwa mtu yoyote, awe Mwislamu ama Mkristo au hata MPAGANI anapenda kuheshimiwa na kulindwa Utu wake.aah,
Kumbe tatizo location na time?..nafikiri hilo niko pamoja na wewe.lakini mimi najua zinazofanyika kwenye kumbi kama diamond jubilee
kukataza watu wasi-debate..hiyo mkuu hatuko pamoja...
ukiweza ku-proof argument zako hizo either kwenye biblia au quran hakuna ugomvi..lakini kama unasema ili utukane watu na dini zao hapo huwezi kuachwa hivi hivi.
Ndugu SCHMIDT naona ukweli unauma,
Allah = Mwenyezi Mungu kwa Kiswahili.
Hilo ni jina la Mwenyezi Mungu kwa lugha ya kiarabu.
Sasa unamaanisha nn? Kuingilia mambo ya dini nyengine ndy jinsi ya kuneneza imani yao?Uhuru wa kikatiba wa kujieleza na kueneza imani yao na kila mtu ana haki ya kufanya hivyo hata ww kama una imani yako unaweza kufanya hivyo hivyo hakuna atakae kubugudhi.
Wadau, ningependa kueleweshwa kwenye hili... Nilipita jana katika maeneo ya Y/dovya n nikakuta mhadhara unaoongozwa na waheshimiwa fulani wa dini ya Kiislam. Cha kustaajabisha, wale jamaa walikuwa hawafundishi kile ambacho nafikiri Waislam wengi wangependa kujua kuhusu dini yao n badala yake walikua wanauponda Ukristo wazi.... Eg Yesu c mwana wa Mungu(kina wahusu nn?). Nikakaa nikijua labda wangeleta topic ya kuhusu Muhamad n dini yenyewe kwa ujumla lakini wapi. N nilivyodadisi nikaambiwa wana wiki ya pili ss n mada zao ni kuhusu ukristo tu... Sasa hii inajenga au inabomoa? Je! hawaoni kwamba huko ni kupaisha dini ya wenzao ili hali kuna story kibao kuhusu uislam...
Nisaidieni, Kuna uhalali wa kuingilia mambo ya wengine?
Aksanteni.
aah,
Kumbe tatizo location na time?..nafikiri hilo niko pamoja na wewe.lakini mimi najua zinazofanyika kwenye kumbi kama diamond jubilee
kukataza watu wasi-debate..hiyo mkuu hatuko pamoja...
ukiweza ku-proof argument zako hizo either kwenye biblia au quran hakuna ugomvi..lakini kama unasema ili utukane watu na dini zao hapo huwezi kuachwa hivi hivi.
[/SIZE][/FONT]
neno Allah lina maana ya Mungu kwa kiswahili ni sawa na GOD kwa kingereza, ila dhana nzima ya Mungu inategemea na falsafa ya dini husika, kwangu mimi Mungu anaeabudiwa na Wakristo ni tofauti na Mungu anaeabudiwa na Waislamu, lazima kundi moja liko sahihi na lingine ni motoni tu.
Dini hizi hazichagamani, ni sawa na maji na mafuta.hakuna compromise, ni sawa na magharibi na mashariki, ni uongo kutaka kusema Mungu wa Msahafu ni Mungu wa Ibrahim na Issaka wa Biblia.
juzi nimepita manzese wapo pale wanaendeleza mambo hayo hayo, kwa nini wasitumie muda huo kutangaza dini yao badala ya kukashifiana?
Uhuru wa kikatiba wa kujieleza na kueneza imani yao na kila mtu ana haki ya kufanya hivyo hata ww kama una imani yako unaweza kufanya hivyo hivyo hakuna atakae kubugudhi.
Ni kweli kabisa Magezi. Na hiyo niliyoweka kwenye nyekundu ndo hasa lengo lao. Si watu wa amani hawa wanatafuta kuchokozwa ili wafanye kile quran yao imewaamuru, kuchinja na kuua wasioukubali uislamu na wanaume ndo wamedanganywa kwa kufanya hivyo wanawahi wale mabikira 72 waliowekewa na "allah" wao huko aliko. Pole zao!
Fear mongering tu hakuna lolote. Kwa taarifa yenu wahadhiri hawa wam raise the bar sasa wanafanya hizo comprative religion debate mpaka kwenye kumbi kama diamond jubilee. Watu kama akina Mtikila na viongozi wengine wa kikristo wamekuwa wakialikwa pia.
Ninacho jaribu kusema hapa ni kuwa kama mnaamini dini yenu ni ya haki mnaogopa nini watu kuijadili?
Mmekuwa kama vifaranga vya kuku vilivyoingia kwenye shimo, watu wanataka kumsaidia kuku kuvitoa kwenye shimo, anawaparura watu.Sasa ninyi wakristo mnapotea watu wana jaribu kuwatoa kwenye upotovu mnakuwa wakali.
Jamani mnapotea kitabu chenu wenyewe kinawaambia hivyo.
.
Hayo ni mawazo yako au umeyatoa wapi??? Uwe na uhakika na kile unachoandika. Kwanza elewa kuwa hao wanaofanya hiyo mihadhara ya kukashfu Dini za watu wengine wana mapepo tayari na hayo mapepo ndio yanayosema ndani yao. Mfano hapo karibu na posta mpya, kuna baba mmoja wa Kiislamu ameshika na Biblia anasoma na kukashifu Ukristo - amesimama kwenye Jua kali mchana, jasho linamtoka, macho yamemwiva.... sasa unajiuliza anataka nini hasa?? anafanya vile kwa faida gani?? anaonyesha wazi AMEPAGAWA NA MAPEPO na yakikemewa kwa JINA LA YESU YANATOKA
Biblia inasema" KWAO WANAOPOTEA, NENO LA MSALABA NI UPUUZI BALI KWETU SISI NI NGUVU YA MUNGU" HII NGUVU INAFANYA KAZI SANA SIKU HIZI ZA MWISHO NA SHETANI AMEAMUA KUTUMIA WALE WASIOJUA UKWELI KUJARIBU KUPINGANA NA HIYO NGUVU
WAKRISHO WAMEJENGWA KWENYE MWAMBA IMARA - HATA NGUVU ZA KUZIMU HAWATAWAWEZA
TUSIBABAIKE NA MIHADHARA YAO - KAZI YETU NI KUOMBA, KUSIFU NA KUHUBIRI INJILI ISIYOGHOSHIWA - TUSIPOTEZE MUDA ILI WENGI WAMJUE MUNGU - HAO WANAOHUBIRI KINYUME NA YESU MWISHO WAKE WANABADILIKA - ZIKO TESTIMONY NYINGI SANA - THAT IS THE POWER OF GOD .............. Haleluyaaaaaaaaaaa - Amen
FOR INFORMATION: MUNGU NI MOJA MWENYE NAFSI TATU - [HATUNA MIUNGU MITATU] NA NAFSI HIZI TATU NI KWENYE UTENDAJI = UUMBAJI, UKOMBOZI, NGUVU YA MUNGU - HAYA NI MAMBO YA ROHONI MTU MWENYE AKILI ILIYOTEKWA NA SHETANI NI NGUMU SANA KUELEWA NA HII INATAKA NEEMA YA MUNGU [ONLY THE GRACE OF GOD CAN OPEN OUR EYES AND EARS AND MIND TO UNDERSTAND THESE THINGS.
Allah is worth dying for...hakuna mtu anatukana dini ..kinachofanyika ni debate?
Unajua maana ya debate? kama umewahi kuhudhuria intellectual or academic presentation...waislamu na wakristo wana-argue on basis of their religions in order to find the true religion...unajua njia ya kwenda kwa muumba ni mmoja..which is??...watu wanatoa evidence wananchi wanaamua...hakuna ugomvi
acha streoype zako..za waislamu hawana elimu ..that to low for you..
Kweli, Mungu anaeabudiwa na Wakristo ni tofauti na Mungu anaeabudiwa na Waislamu kwa sababu wakristo wanamwabudu mtu (Bwana Yesu), na waislamu wana mwabudu Mwenyezi Mungu Mmoja tu (Allah).
Shukran.