Miguna Miguna anaishi wapi?

ANKOJEI

JF-Expert Member
Nov 11, 2010
996
742
Swali wajemeni, kwa wanaojua,

Huyu jamaa anaishi wapi? nakumbuka ile timbwili lake uchanguzi uliopita ambao Uhuruto walipata asilia 97% baada ya uchanguzi kususiwa na Odinga, baada ya hapo sijamsikia tena.

Je, ni mkimbizi? Kwanini Uhuruto hawakumsamehe kama walivomsamehe Odinga?

Msaada tafadhali wajuzi wa mambo?
 
images (40).jpeg
 
Baada ya Kufanikisha Kumlisha Kiapo Dolnard Trump Kule Msituni Carifonia Akapewa Uraia huko huko USA.
 
Miguna yupo Canada huko anakula mema ya nchi,ila yule jamaa ndo kichwa cha upinzani East Africa.
 
Anaishi ukimbizini Canada. Kuna wakati alikua anarudi Kenya akazuiwa airport pale Ujerumani wakati anaunganisha ndege kutokana na maagizo ya serikali ya Kenya kwamba hawataki aingie nchini kwao. Walidai alishaukana uraia wa Kenya (ana urai pacha).

Miaka ya nyuma alikua rafiki mkubwa wa Raila Odinga lakini wakaja kukosana kufikia hatua ya Miguna Wa Miguna kuandika kitabu "Pilling the Mask" ambacho kilikua kina mponda Raila na kufichua siri zake nyingi.

Ni kipindi hicho ndio alikimbia Kenya kwa mara ya pili(mwanzo alikimbilia Canada wakati wa utawala wa Moi akiwa bado mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Nairobi wakati huo yeye na kundi la baadhi ya wanafunzi waliokua viongozi wa serikali ya chuo kuongoza harakati za kumpinga Rais Moi).

Alikimbia mara ya pili baada ya Wajaluo kuanza kumuwinda wamuue kwa kumdhalilisha Raila Odinga kupitia kitabua alichoandika. Japo baadae walikuja kupatana lakini akawa haaminiki. Raila alivyopatana na Uhuru Kenyata basi wakatofautiana tena na Miguna.
 
Miguna miguna lives in the city of toronto. He works in a law office known as kmc.He recently won a case related to rent issues.
He is not a mukimbizi anymore becuase he has been and still holds canadian citizenships.
 
Technically tindu lisu sasa huvi legaly ni mkimbizi.
 
Back
Top Bottom