Namna rafiki yangu alivyosalitiwa kwenye uchumba

Peter Mwaihola

JF-Expert Member
Jun 23, 2022
227
333
Bila shaka hujambo! Ni matumaini yangu kuwa licha ya hekaheka za hapa na pale bado u buheri wa afya.

Kama ilivyo kawaida tunakutana kwenye simulizi ya makala kuhusu maisha, leo hii tutaangalia kisa kimoja ambacho kimempata rafiki yangu wa karibu wa miaka mingi.
Basi pasipo kupoteza muda nianze kwa kukuomba radhi kuwa sitotaja majina ya muhusika yoyote ili kulinda faragha yake na utu.

Iko hivi rafiki yangu amenipigia simu akilalamika kuwa mchumba wake wa muda mrefu amemtapeli na kumsaliti huku asijue kwanini amefanyiwa vile.

Anaanza kusimulia "Jamaa yangu kama nilivyokwambia kipindi kile kuwa nina mwanamke anaishi songea nimezaa nae watoto wawili mapacha, tangu mwezi wa kumi 2021 "

Anaendelea akisema "lakini nimeambiwa na watu wangu wa karibu kuwa watoto walikufa miezi kadhaa iliyopita na mwanamke ameshaolewa na mwanaume mwingine ingawaje nikimuuliza yeye anakataa akisema watoto wapo na yeye hajaolewa".

Baada ya kusikia taarifa hiyo nashtuka na kuongeza sauti ya simu yangu huku nikiitega vizuri sikioni na kumuuliza umesema watoto walikufa?

Ndio watoto walikufa na nimeambiwa kuwa yeye aliolewa pia na mwanaume wa huko huko songea, anasisitiza.

Kwa kuhamaki namuuliza tena, ilikuwaje watoto wafe na wewe usipewe taarifa kwa muda huo na hao watoto walizikwa wapi?

Anaendelea "hata mimi nimeshangaa na kushindwa kuelewa watoto walizikwa wapi sijui hukohuko kwa dada yake Songea alikokua akiishi".

Anaendelea kwa kusema kwa muda wa mwezi mmoja uliopita mawasiano yetu hajawa mazuri hivyo tukawa hatuelewani baada ya kuona haeleweki.

Narudia tena kumuuliza ilikuaje wazike watoto wa mtu bila kumjulisha anasema bado hata yeye haelewi kwani yupo mbeya Mjini na mwanamke yupo Songea.

Ninapojaribu kumuuliza alimpata wapi ambapo walianzia Uhusiano anafunguka kwa kusema.
"Miaka kadhaa tangu 2019 nilikuwa na ukaribu nae wote tukiwa Mwakaleli Tukuyu ambapo yeye alikua akiishi kwa ndugu zake lakini baadae akapata matatizo ambapo ndugu zake walimfukuza na kwakua hakuwa kwa kwenda nifanya mpango wa kumsafirisha ili aende kwa dada yake Songea ambaye alikua ni ndugu pekee ambae alikua anaweza kumsaidia"

Nakumbuka Ilikua ni mwaka 2021 mwanzoni nikamtafutia nauli ambapo alisafiri kutoka Tukuyu hadi songea, kwa gharama zangu mimi mwenyewe, Anasema.

"Alipofika huko nilikuwa najibana natunza pesa ninayopata kwenye mishe zangu hapa mbeya ntamtumia kwakua kipindi anaondoka huku aliondoka akiwa na mimba yangu" anaeleza.

Ilipofika mwezi wa kumi 2021 aliniambia kuwa amejifungua watoto wawili mapacha nikamtumia pesa ya matumizi zaidi ya laki mbili.

Baada ya hapo ilipofika mwezi wa pili mwaka huu 2022 aliniomba hela ya mtaji ili alime Maharage huko songea kwakua yanalipa sana nikamtumia kama laki hivi.

Kwa muda huo pia nilikua kila wiki namtumia hela ndogo ndogo Kama za Vocha na matumizi ya watoto.

Miezi kadhaa baadae akaniomba tena mtaji ili afanye biashara nikamtumia laki 2, baada ya muda akasema biashara ngumu mtaji ni mdogo nikamuongezea tena laki moja.

Anasema licha ya ugumu wa maisha ya mjini aliendelea kujibana akiamini kuwa ana mchumba ambae anamlelea watoto wawili hivyo aaingependa ateseke kuwalea.

Anaongeza kuwa Kuna kipindi alitumiwa picha za hao watoto ili ajue maendeleo yao kitu ambacho kilimpa hamasa ya kuendelea kujitoa katika malezi.

"Kuna muda maisha yangu yalikua magumu hapa mjini tena akaniomba nimtumie hela ya matumizi kwakua biashara imefeli kabisa ndipo nikamsisitiza kwa kumwambia kama maisha ya Songea ni magumu Sana aje Mbeya na watoto tukae wote ili tusaidiane kuwalea maisha yaendelee akakataa nikamtumia hela"

Anasita kidogo anavuta pumzi ndefu Kisha anapuliza akisema basi nakumbuka ilikua mwezi wa sita 2022 niliambiwa na ndugu yangu mmoja ambae alikuwa songea nilimtuma akafahamu anapoishi huyo mwanamke ndipo nilipopewa taarifa na yule ndugu kuwa watoto walifariki na ameambiwa kuwa mwanamke ameolewa na mwanaume mwingine.

"Niliposikia taarifa hiyo sikuamini moja kwa moja nilimuuliza akasema watoto wapo na yeye bado hajaolewa na zilipita siku kadhaa akawa ananiomba hela ya matunzo ya watoto" anasisitiza kwa Sauti ya chini.

Kwa mshangao namkatisha na kumuuliza vipi hukuwa na namba ya ndugu yake hata huyo dada yake ili umuulize?
Anasema nilipo jaribu kuuliza waliniambia ukweli kuwa kweli watoto walikufa na mama yao ameolewa na mwanaume mwingine.

Nilipojaribu kumuuliza rafiki yake nae akanihakikishia kuwa kweli aliolewa ingawaje yeye alikuwa anaogopa kuniambia kwa muda mrefu.

"Nilipo mtafuta tena kwa simu sikumpata ikawa haipatikani wiki hadi mwezi ndipo nilipoamua kumtafuta tena rafiki yake na kumuomba ampelekee simu niongee nae"

Baada ya kumbana ndipo alipokubali kuwa kweli watoto walikufa na yeye ameolewa na mwanaume mwingine hivyo anaomba nimsamehe na tuendelee kuwasiliana.

"Niliumia sana nikamuuliza mbona kipindi kile nilikuambia kama maisha ya huko magumu uje mbeya ukakataa, kwanini hukuniambia kuwa watoto wamekufa ukaendelea Kuomba na kula hela zangu?" Anaongea kwa uchungu.

Kabla hajamaliza nadakia kwa kumpa pole kwa tukio hilo Kisha anamalizia.

"Basi baada ya Maelezo hayo nikwamwambia kuwa sitaki tena mawasiano Kati yetu kwa msaada niliompa nimelipwa kwa usaliti na utapeli kinachoniumiza sio kusalitiwa tu ni kula hela za jasho langu na mwanaume mwingine" anamaliza.

Follow Peter Mwaihola
 
Hiyo ndio songea,wanawake wake ni jasiri Sana,pole yake,nilichoambuliaga nikiwa huko miaka kumi iliyopita ni kuhama na kijana nilieambiwa kuwa wangu,japo haikuwa rahisi maana hata wakwe zangu walitaka kunivaa vibaya ila picha walioipata toka kwangu siyo baba,mama,dada na kaka wa mama mtoto Wala mama mwenyewe anataka kusikia mwisho sauti yangu.wananiletea habar za fidia sijui nakarudi home nikatulia kwanza,nikalala nilivyoamka nikaweka kisu kiunoni na pisi ya nondo Kisha nikaenda kuchukua mtoto Tena akiwa na mwaka mmoja na miezi miwili,sasa kidume kipo hapa na tarifa aliyonayo ni kwamba mama yake alishakufa,ila ogopa Sana hawa watu.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Aisee
 
Bila shaka hujambo! Ni matumaini yangu kuwa licha ya hekaheka za hapa na pale bado u buheri wa afya.

Kama ilivyo kawaida tunakutana kwenye simulizi ya makala kuhusu maisha, leo hii tutaangalia kisa kimoja ambacho kimempata rafiki yangu wa karibu wa miaka mingi.
Basi pasipo kupoteza muda nianze kwa kukuomba radhi kuwa sitotaja majina ya muhusika yoyote ili kulinda faragha yake na utu.

Iko hivi rafiki yangu amenipigia simu akilalamika kuwa mchumba wake wa muda mrefu amemtapeli na kumsaliti huku asijue kwanini amefanyiwa vile.

Anaanza kusimulia "Jamaa yangu kama nilivyokwambia kipindi kile kuwa nina mwanamke anaishi songea nimezaa nae watoto wawili mapacha, tangu mwezi wa kumi 2021 "

Anaendelea akisema "lakini nimeambiwa na watu wangu wa karibu kuwa watoto walikufa miezi kadhaa iliyopita na mwanamke ameshaolewa na mwanaume mwingine ingawaje nikimuuliza yeye anakataa akisema watoto wapo na yeye hajaolewa".

Baada ya kusikia taarifa hiyo nashtuka na kuongeza sauti ya simu yangu huku nikiitega vizuri sikioni na kumuuliza umesema watoto walikufa?

Ndio watoto walikufa na nimeambiwa kuwa yeye aliolewa pia na mwanaume wa huko huko songea, anasisitiza.

Kwa kuhamaki namuuliza tena, ilikuwaje watoto wafe na wewe usipewe taarifa kwa muda huo na hao watoto walizikwa wapi?

Anaendelea "hata mimi nimeshangaa na kushindwa kuelewa watoto walizikwa wapi sijui hukohuko kwa dada yake Songea alikokua akiishi".

Anaendelea kwa kusema kwa muda wa mwezi mmoja uliopita mawasiano yetu hajawa mazuri hivyo tukawa hatuelewani baada ya kuona haeleweki.

Narudia tena kumuuliza ilikuaje wazike watoto wa mtu bila kumjulisha anasema bado hata yeye haelewi kwani yupo mbeya Mjini na mwanamke yupo Songea.

Ninapojaribu kumuuliza alimpata wapi ambapo walianzia Uhusiano anafunguka kwa kusema.
"Miaka kadhaa tangu 2019 nilikuwa na ukaribu nae wote tukiwa Mwakaleli Tukuyu ambapo yeye alikua akiishi kwa ndugu zake lakini baadae akapata matatizo ambapo ndugu zake walimfukuza na kwakua hakuwa kwa kwenda nifanya mpango wa kumsafirisha ili aende kwa dada yake Songea ambaye alikua ni ndugu pekee ambae alikua anaweza kumsaidia"

Nakumbuka Ilikua ni mwaka 2021 mwanzoni nikamtafutia nauli ambapo alisafiri kutoka Tukuyu hadi songea, kwa gharama zangu mimi mwenyewe, Anasema.

"Alipofika huko nilikuwa najibana natunza pesa ninayopata kwenye mishe zangu hapa mbeya ntamtumia kwakua kipindi anaondoka huku aliondoka akiwa na mimba yangu" anaeleza.

Ilipofika mwezi wa kumi 2021 aliniambia kuwa amejifungua watoto wawili mapacha nikamtumia pesa ya matumizi zaidi ya laki mbili.

Baada ya hapo ilipofika mwezi wa pili mwaka huu 2022 aliniomba hela ya mtaji ili alime Maharage huko songea kwakua yanalipa sana nikamtumia kama laki hivi.

Kwa muda huo pia nilikua kila wiki namtumia hela ndogo ndogo Kama za Vocha na matumizi ya watoto.

Miezi kadhaa baadae akaniomba tena mtaji ili afanye biashara nikamtumia laki 2, baada ya muda akasema biashara ngumu mtaji ni mdogo nikamuongezea tena laki moja.

Anasema licha ya ugumu wa maisha ya mjini aliendelea kujibana akiamini kuwa ana mchumba ambae anamlelea watoto wawili hivyo aaingependa ateseke kuwalea.

Anaongeza kuwa Kuna kipindi alitumiwa picha za hao watoto ili ajue maendeleo yao kitu ambacho kilimpa hamasa ya kuendelea kujitoa katika malezi.

"Kuna muda maisha yangu yalikua magumu hapa mjini tena akaniomba nimtumie hela ya matumizi kwakua biashara imefeli kabisa ndipo nikamsisitiza kwa kumwambia kama maisha ya Songea ni magumu Sana aje Mbeya na watoto tukae wote ili tusaidiane kuwalea maisha yaendelee akakataa nikamtumia hela"

Anasita kidogo anavuta pumzi ndefu Kisha anapuliza akisema basi nakumbuka ilikua mwezi wa sita 2022 niliambiwa na ndugu yangu mmoja ambae alikuwa songea nilimtuma akafahamu anapoishi huyo mwanamke ndipo nilipopewa taarifa na yule ndugu kuwa watoto walifariki na ameambiwa kuwa mwanamke ameolewa na mwanaume mwingine.

"Niliposikia taarifa hiyo sikuamini moja kwa moja nilimuuliza akasema watoto wapo na yeye bado hajaolewa na zilipita siku kadhaa akawa ananiomba hela ya matunzo ya watoto" anasisitiza kwa Sauti ya chini.

Kwa mshangao namkatisha na kumuuliza vipi hukuwa na namba ya ndugu yake hata huyo dada yake ili umuulize?
Anasema nilipo jaribu kuuliza waliniambia ukweli kuwa kweli watoto walikufa na mama yao ameolewa na mwanaume mwingine.

Nilipojaribu kumuuliza rafiki yake nae akanihakikishia kuwa kweli aliolewa ingawaje yeye alikuwa anaogopa kuniambia kwa muda mrefu.

"Nilipo mtafuta tena kwa simu sikumpata ikawa haipatikani wiki hadi mwezi ndipo nilipoamua kumtafuta tena rafiki yake na kumuomba ampelekee simu niongee nae"

Baada ya kumbana ndipo alipokubali kuwa kweli watoto walikufa na yeye ameolewa na mwanaume mwingine hivyo anaomba nimsamehe na tuendelee kuwasiliana.

"Niliumia sana nikamuuliza mbona kipindi kile nilikuambia kama maisha ya huko magumu uje mbeya ukakataa, kwanini hukuniambia kuwa watoto wamekufa ukaendelea Kuomba na kula hela zangu?" Anaongea kwa uchungu.

Kabla hajamaliza nadakia kwa kumpa pole kwa tukio hilo Kisha anamalizia.

"Basi baada ya Maelezo hayo nikwamwambia kuwa sitaki tena mawasiano Kati yetu kwa msaada niliompa nimelipwa kwa usaliti na utapeli kinachoniumiza sio kusalitiwa tu ni kula hela za jasho langu na mwanaume mwingine" anamaliza.

Follow Peter Mwaihola

Ana watoto wa 2 naye na bado ni mchumba, bora kasalitiwa
 
Nachoweza kusema hapa ile mimba ilitolewa kitambo sana na hakuna mtoto alizaliwa hapo haingii akrini wafariki wote kwa mpigo mwamba alipangwa mda mréfu sana hakujua tu hata hizo picha anazosema kutumiwa alipgwa changa tu akatumiwa pcha za watoto wa watu ,watoto wawl akose hta wa kumfanana japo kwa mbaaali asee pole yake mwamba
 
Watoto wote kufariki! Nini chanzo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom