miguna miguna

Miguna Miguna is a Kenyan-born Canadian citizen, author, columnist, attorney, and political dissident. He is a barrister and solicitor in Canada, and an advocate of the High Court of Kenya. Miguna served as a senior adviser to former Kenyan Prime Minister Raila Odinga from 2009 to 2011.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Miguna Miguna na ushauri kwa wanasiasa Tanzania

    Ushauri wa Miguna Miguna uko wazi. Ya nini kulia lia? Nini kisichojulikana? Atakayeyapuuza asije kudai kaibiwa uchaguzi.
  2. TODAYS

    Dunia haina usawa, Miguna Miguna kaamua kulianzisha dhidi ya Raila Odinga

    Huyu jamaa kama mnakumbukumbu ndiye aliyemwapisha aliyekuwa jamaa yake wakati huo ndugu Raila Odinga baada ya uchaguzi uliompatia ushindi Rais mstaafu Uhuru Kenyatta. Jamaa baada ya kuona mambo magumu alikimbilia uhamishoni Canada. Katika hali isiyokuwa ya kawaida jana amempiga na kitu kizito...
  3. britanicca

    Miguna kosa kubwa karejea Kenya, Lissu na Lema kunani?

    Kosa la kumuapisha mtu bila ridhaa ya taasisi husika ni kosa kubwa sana! Miguna miguna alimuapisha Odinga na karejea Kenya baada ya muda mrefu kuwa Canada! Je, kuna tishio lolote Lissu na Lema kurejea nchini? Au kuna ujanja ujanja fulani ambao unawafanya kujificha kwenye kivuli cha exile...
  4. Sildenafil Citrate

    Dr. Miguna kuwasili Kenya Octoba 25, 2022

    Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa twitter, Wakili Dr. Miguna Miguna ametangaza kurejea Nchini Kenya usiku wa Octoba 25, 2022. Amesema kuwa ataondoka Toronto Octoba 24, 2022 na itakuwa ni safari yake ya kwanza Kurejea nchini humo kwenye kipindi cha miaka 5 ya kukaa uhamishoni. Dr. Miguna...
  5. Sildenafil Citrate

    Dr. Miguna: Rais Ruto Kanirejeshea hati yangu ya kusafiria

    Kupitia Ukurasa wake Rasmi kwenye mtandao wa twitter, Wakili Dr. Miguna Miguna amesema kuwa Rais mpya wa nchi hiyo William Ruto amemrejeshea hati yake ya kusafiria baada ya Serikali ya nchi hiyo kuishikilia kwa siku 1687. Katika maelezo yake, Dr. Miguna amewatuhumu watu kadhaa wakiwemo Raila...
  6. BARD AI

    Miguna Miguna athibitisha kurejea Kenya baada ya Rais Ruto kumpa kibali

    Wakili aliyehamishwa Miguna Miguna ana kila sababu ya kutabasamu baada ya Rais William Ruto kuondoa arifa nyekundu zilizotolewa dhidi yake. Katika taarifa yake mnamo Jumanne, Septemba 13, wakili huyo alibainisha kuwa alipokea hakikisho kutoka kwa Amiri Jeshi Mkuu kuhusu hali yake ya uhamishoni...
  7. MSAGA SUMU

    Miguna Miguna awe makini sana

    Unaweza ukalala Dubai ukashangaa asubuhi unaamkia Kanombe.
  8. The Sheriff

    Kenya 2022 Miguna Miguna: I will vie for Nairobi governor seat in August polls

    Sensational Kenyan lawyer Miguna Miguna has joined the race for the Nairobi governor seat. Speaking to KTN News on Wednesday evening, Miguna said he will be giving his second stab at the City-County top seat in the August 9, polls. “I intend to run for the Nairobi governor seat. I am a...
  9. B

    "Rot in Hell Charles Njonjo" - Asema Miguna Miguna

    Bwana Charles Njonjo kaaga dunia jana. Hapa ni maoni makali kabisa kumhusu: Miguna Miguna: The Charles Njonjo I know Enyi mlioko madarakani mnaojinasibu kuwekwa huko na Mola huku ghiliba zenu zikijulikana, hamna cha kujifunza kabla ya siku zenu? Kwamba mwendazake hasemwi? Kwamba nyie mmewekwa...
  10. ANKOJEI

    Miguna Miguna anaishi wapi?

    Swali wajemeni, kwa wanaojua, Huyu jamaa anaishi wapi? nakumbuka ile timbwili lake uchanguzi uliopita ambao Uhuruto walipata asilia 97% baada ya uchanguzi kususiwa na Odinga, baada ya hapo sijamsikia tena. Je, ni mkimbizi? Kwanini Uhuruto hawakumsamehe kama walivomsamehe Odinga? Msaada...
  11. Erythrocyte

    Mapatano ya Raila Odinga na Uhuru Kenyatta yana maana gani ikiwa Miguna Miguna anazuiliwa kurudi Kenya ?

    Bado sijaelewa kwanini Mh Raila Odinga hataki kumsaidia Mwanasheria wake Miguna Miguna kurejea nchini Kenya ikiwa kama kweli wame "Shake hand" na Rais Uhuru Kenyatta, kwa maana ya kumaliza tofauti zao. Kuna nini nyuma ya pazia kuhusiana na sakata hili?
  12. USSR

    Juhudi za Miguna Miguna kurejea Kenya zakwama, azuiwa Berlin

    Mamlaka nchini Ujerumani zimemzuilia wakili wa kujitegemea Miguna Miguna kuabiri ndege kwenda Kenya, Afrika Mashariki au nchi yoyote ya Afrika. Miguna aliyetenda kosa la kumwapisha kinara za upinzani Odinga kama Rais alifurushwa nchini Kenya na passport yake kushikikiwa na mamlaka za Kenya kwa...
Back
Top Bottom