johnj
Member
- Jul 23, 2008
- 91
- 31
Sirikali hii mhhh. Majuzi tu wanafunzi wa Mkwawa wa mwaka wa kwanza walikandamana hadi kwa mkuu wa mkoa wakidai fedha yao ya chakula ambayo hadi leo hii hawajalipwa. Sasa unajiuliza sirikali si iliingia mkataba na wanafunzi hawa wa kuwakopesha hela ya kujikimu sasa kizungumkuti gani kimewakuta ! hawana hela ? na mashangingi je ?
Siungi mkono uharibifu uliotokea Dodoma lakini naunga mkono kupigania haki yako ya msingi. Utaishi vipi chuoni kama hukupata hela ya kujikimu ? mbona uongozi wa chuo uliwakatalia wanafunzi ambao hawajalipa karo kurudi vyuoni na sirikali hiyo hiyo inashindwa kuwapa hela ya kujikimu.
Matatizo ni mengi katika wizara ya elimu, wizi wa mitihani, kushuka kwa viwango vya kufaulu, migomo vyuo vikuu, wanafunzi kutolipwa hela zao, nk, na kama ningekuwa rahisi (Just Kidding aka JK) ningemtimua waziri wa elimu. kuwa waziri wa elimu huhitaji kuwa professor. isije kuwa anafanya research katika elimu yetu !