Migomo Chuo Kikuu cha Dodoma na Maslahi ya Wahadhiri & Wanafunzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Migomo Chuo Kikuu cha Dodoma na Maslahi ya Wahadhiri & Wanafunzi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Yona F. Maro, Mar 3, 2009.

 1. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #1
  Mar 3, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Katika ule mwendelezo wa Serikali kupinga wanafunzi wa Vyuo vikuu hasa vya umma kutumia haki yao ya kidemokrasia kudai haki zao, leo Polisi wa mkoani hapa wametembeza kichapo cha "ukweli" kwa wanachuo wa UDOM ambao wamegoma wakitaka walipwe stahili zao za mikopo ambazo zimewafanya baadhi yao waishi maisha magumu na ya kutia aibu hasa kwa wasichana
   
 2. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Yaani polisi wetu wamebaki kupiga wanafunzi wasio na hatia badala ya kuwakamata na kuwa adabisha wanao hujumu uchumi wa nchi ambao ndo chanzo cha ukata wa Taifa letu ambacho ni kiini cha migogoro yote hiyo!
   
 3. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #3
  Mar 3, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  ukata wa nchi umeshaambiwa ni mgogoro wa kifedha duniani
   
 4. G

  Ghwakukajha Senior Member

  #4
  Mar 3, 2009
  Joined: Apr 27, 2008
  Messages: 172
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Je walikuwa wanafanya fujo katika huo mgomo?Au walifanya chochote kinachoweza kuhatarisha amani chuoni hapo?Ningependa kufahamu wamepigwa kutokana na sababu ZIPI hasa(kama ni kweli wamepigwa)
   
 5. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #5
  Mar 3, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Mbona shule za secondary msosi ukiisha shule zinafunga.
  Kama vp na chuo nacho kifungwe kama serikali haina pesa za kuwakopesha wanafunzi hao kuliko kuwaaacha wakiteseka.Na Dodoma maisha ghari sana kuliko Dar es salaam hapa Dar mwanafunzi anaweza akatumia 1500-2000 kwa siku na sio DOM.
   
 6. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #6
  Mar 3, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Je ni jukumu la wazazi au serikali kuwapa wanafunzi pesa ya chakula?

  Kama nyumbani hamna msosi aulizwe nani?
   
 7. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #7
  Mar 3, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Mkuu Shy,

  Upo Dodoma wakati huu?
   
 8. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #8
  Mar 3, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Kuna taarifa kuwa polisi wametanda chuoni UDOM na mabomu kadhaa ya machozi yametumika kuwatawanya wanafunzi.Taarifa zaidi nafuatilia nitawajuza punde
   
 9. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #9
  Mar 3, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Mods pls delete this thread to avoid confusion and unnecessary duplication of issues, thanks.
   
 10. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #10
  Mar 3, 2009
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,167
  Likes Received: 1,251
  Trophy Points: 280
  Na hilo picha lako siipendi
   
 11. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #11
  Mar 3, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  vp unaogopa kivuli chako..LOFL!!!!!!!
   
 12. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #12
  Mar 3, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  BABA MIMI KIVULI CHANGU KIKIWA KAMA hilo domo itabidi nikiogope
   
 13. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #13
  Mar 3, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,441
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  mmh!! domo kubwa sana lakini!!
   
 14. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #14
  Mar 3, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
   
 15. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #15
  Mar 3, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Muhimu ni kujadili mada na si sura ya mtu. Huo ni ukosefu wa heshima na pia kumkosoa Muumba. Kama unakosoa sura ya mtu, una tofauti gani na wanaoua Albino?.
   
 16. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #16
  Mar 3, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Sasa ukipata mtoto ana sura mbaya hivi unafanyaje?
   
 17. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #17
  Mar 3, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  sura mbaya hivi ndio ipi?unazungumzia hiyo yangu?wazazi wako walifanye walipo kupata wewe?
   
 18. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #18
  Mar 3, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Wakati post inawekwa nilikuwa dodoma
   
 19. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #19
  Mar 3, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  tuthamini elimu please.
   
 20. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #20
  Mar 3, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  tuthamini elimu please.sisi bado tupo nyuma mno. Thanks mkuu shy kwa hii changamoto.
   
Loading...