Migomo Chuo Kikuu cha Dodoma na Maslahi ya Wahadhiri & Wanafunzi

the hell mlacha asiwaharibu watz kwa migogoro afu wakasahau ishu za katiba mpya, dowans, etc
 
Nyumba moja????? Fafanua,..

Samirnasri...hjaelewa nini hapo....yaani mke wa Mlacha na mama Kikwete ni mtu na mdogo wake, so kikwete hawezi fanya lolote kwa jamaa kwa kuwa wanafahamiana kwa karibu.

Kwa kweli Mlacha ni mharibifu wa hali ya hewa ya UDOM si kwa wafanyakazi tu hata kwa wanafunzi...sijui Kikwete anampa kinga gani kubwa namna hii. Nachelea kusema kila chenye mwanzo kina mwisho kwakuwa watu bado wanateseka sana kwa ajili ya FISADI wa uhuru wa wanataaluma wa UDOM....!
 
Salaam wana jamii forum! Taarifa za uhakika nilizozipata wakati huu kutoka kwa mdau muhimu katika Chuo kikuu cha Dodoma ni Kwamba walimu wameamua kuanza mgomo kushinikiza madai yao mbalimbali.

Walimu hao wamefanya mkutano wao leo hii kuanzia saa nane mchana hadi saa kumi na mbili na nusu nao baada ya kupiga kura wote kwa kauli moja isipokuwa watu wanne tu waliamua kuanza mgomo ambao utaendelea mpaka pale madai yao yote yatakapotekelezwa.

Hili ni fundisho kwa uongozi wa kidikteta uliopo hapo chuoni.

Siku zote tunaamini kwamba haki ya mtu haipotei bali huchelewa tu , kimsingi wanaUDOM wamevumilia mengi tangu kuanzishwa kwa chuo mwaka 2007.

Hiki ni chuo pekee cha uma ambacho wafanyakazi wake wote hawajawahi kulipwa pesa ya kujikimu.

Hii ni Taasisi pekee amabayo wafanyakazi wanalipwa mshahara pungufu ya ule unaoonekana katika payroll kutoka hazina.

Hii ni taasisi pekee ambayo salary slip za wafanyakazi ni siri na uongozi wa chuo kuamua kujitengenezea salary slip zake, hali hii ya kugushi salary slip imemsababishia mwalimu mmoja kuwekwa mahabusu akituhumiwa kwamba ni tapeli baada ya kuonesha salary slip ambayo haitambuliki kisheria.

Hii ni taasisi pekee ambayo wafanyakazi wake 409 hawapo katika payroll ya hazina na matokeo yake wafanyakazi waliopo katika payroll inaaminika ndio wanajikikuta wanakatwa mishahara kugharamia wenzao.

Hii ni taasisi pekee ambayo kuna urasimu wa ajabu katika jambo lolote linalohusu pesa hata kama mtu anastahili.

Hii ni taasisi pekee ambayo mshahara mpya umekuja kutoka hazina toka novemba mwaka jana lakini mpaka sasa wanalipwa mshahara wa zamani ambao hata huo nao umechakachuliwa kwa mujibu wa viambatanisho na taarifa za siri amabazo walimu wanazo. Hata katika mwezi huu wameambiwa wasitegemee kupata mshahara mpya.

Siku zote niliamini kwamba UDOM ni bomu linalosubiria kupasuka kwani wakati wake wa kupasuka ndio huu sasa. Wahenga wetu walisema kimya kingi kina mshindo mkuu, wengi waliiangalia Udom kwa jicho la dharau na mabezo kutokana na ukimya wake wakati umefika mjusi amegeuka kuwa nyoka.

Ninakushukuru mdau kwa taarifa hii nyeti sana waandishi wa habari mnakaribishwa Chimwaga siku ya jumatatu asubuhi, kuanzia saa moja na nusu walimu wataendele na mikutano isiyoisha pasipo kuingia darasani huku wakweka mikakati, Taarifa zaidi zinapatikana kwa viongozi tu wa chama cha wanataaluma chuoni hapo kinachoitwa UDOMASA

Tusipoacha kufanya siasa kwenye mambo ya kitaalamu, kila kitu kitatushinda
 
Wanagoma nini hao si ndio KIHEREHERE walikuwa wanashabikia CCM?

Wamfuate baba yako Makamba atawasaidia wasituzuge hapa.:A S-confused1:
 
Hao na wanafunzi wao si ndo walikuwa wanampongeza Kikwete? Si ndo hao waliompa digrii ya heshima juzijuzi tu au ni wengine? Si ndo hao walikuwa wanaeleza mafanikio ya UDOM kwa muda mchache kwa mbwembwe na kejeli kubwa ? SIyo ninyi hao hao mnaowabeza vyuo vingine kwenye vyombo vya habari? Leo mnageuka mgome ili nani awaunge mkono?

Well, mna haki ya msingi kudai na kushinikiza malipo yenu. Mkichelewa fedha zote zinaenda kwa DOWANS... mtakaa kwenye foleni hadi 2020!!
 
Nao hawa wanasiasa wa vyama vya upinzani wamechochea? kama alivyo tuambia kwenye hotuba yake ya Mwak mpya?? aggggHHHHH
 
Hao na wanafunzi wao si ndo walikuwa wanampongeza Kikwete? Si ndo hao waliompa digrii ya heshima juzijuzi tu au ni wengine?? Si ndo hao walikuwa wanaeleza mafanikio ya UDOM kwa muda mchache kwa mbwembwe na kejeli kubwa ???? SIyo ninyi hao hao mnaowabeza vyuo vingine kwenye vyombo vya habari???? Leo mnageuka mgome ili nani awaunge mkono???
Well, mna haki ya msingi kudai na kushinikiza malipo yenu. Mkichelewa fedha zote zinaenda kwa DOWANS... mtakaa kwenye foleni hadi 2020!!
Jamani mnyonge mnyongeni haki yake apewe, hawa wafanyakazi hawajawahi kujihusisha na CCM ushahidi upo wakati wa kampeni yalitolewa mabasi kuwapeleka wafanyakazi katika kampeni kimsingi watu hawakukubali kupanda, pia jambo la muhimu tuelewe ni nani ayetoa digrii ya heshima hili huwa ni jopo la watu wachache sana tutawalaumu bure, mimi ninadhani tungefurahia huu moto unaozidi kuwawakia mafisadi na vibaraka vyao
 
Salaam wana jamii forum! Taarifa za uhakika nilizozipata wakati huu kutoka kwa mdau muhimu katika Chuo kikuu cha Dodoma ni Kwamba walimu wameamua kuanza mgomo kushinikiza madai yao mbalimbali.

Walimu hao wamefanya mkutano wao leo hii kuanzia saa nane mchana hadi saa kumi na mbili na nusu nao baada ya kupiga kura wote kwa kauli moja isipokuwa watu wanne tu waliamua kuanza mgomo ambao utaendelea mpaka pale madai yao yote yatakapotekelezwa.

Hili ni fundisho kwa uongozi wa kidikteta uliopo hapo chuoni.

Siku zote tunaamini kwamba haki ya mtu haipotei bali huchelewa tu , kimsingi wanaUDOM wamevumilia mengi tangu kuanzishwa kwa chuo mwaka 2007.

Hiki ni chuo pekee cha uma ambacho wafanyakazi wake wote hawajawahi kulipwa pesa ya kujikimu.

Hii ni Taasisi pekee amabayo wafanyakazi wanalipwa mshahara pungufu ya ule unaoonekana katika payroll kutoka hazina.

Hii ni taasisi pekee ambayo salary slip za wafanyakazi ni siri na uongozi wa chuo kuamua kujitengenezea salary slip zake, hali hii ya kugushi salary slip imemsababishia mwalimu mmoja kuwekwa mahabusu akituhumiwa kwamba ni tapeli baada ya kuonesha salary slip ambayo haitambuliki kisheria.

Hii ni taasisi pekee ambayo wafanyakazi wake 409 hawapo katika payroll ya hazina na matokeo yake wafanyakazi waliopo katika payroll inaaminika ndio wanajikikuta wanakatwa mishahara kugharamia wenzao.

Hii ni taasisi pekee ambayo kuna urasimu wa ajabu katika jambo lolote linalohusu pesa hata kama mtu anastahili.

Hii ni taasisi pekee ambayo mshahara mpya umekuja kutoka hazina toka novemba mwaka jana lakini mpaka sasa wanalipwa mshahara wa zamani ambao hata huo nao umechakachuliwa kwa mujibu wa viambatanisho na taarifa za siri amabazo walimu wanazo. Hata katika mwezi huu wameambiwa wasitegemee kupata mshahara mpya.

Siku zote niliamini kwamba UDOM ni bomu linalosubiria kupasuka kwani wakati wake wa kupasuka ndio huu sasa. Wahenga wetu walisema kimya kingi kina mshindo mkuu, wengi waliiangalia Udom kwa jicho la dharau na mabezo kutokana na ukimya wake wakati umefika mjusi amegeuka kuwa nyoka.

Ninakushukuru mdau kwa taarifa hii nyeti sana waandishi wa habari mnakaribishwa Chimwaga siku ya jumatatu asubuhi, kuanzia saa moja na nusu walimu wataendele na mikutano isiyoisha pasipo kuingia darasani huku wakweka mikakati, Taarifa zaidi zinapatikana kwa viongozi tu wa chama cha wanataaluma chuoni hapo kinachoitwa UDOMASA

wamfuate makamba na Jk watawasadia
 
kifupi ni kuwa mambo yanapotoshwa. CCM hawana chao UDOM kuanzia waalim hata wanafunzi. Ni swahiba wa JM, Kikura ndiye nahisi anakipaka rangi ya kijani. Jamaa hafai kuongoza maana uswahiba na JM unampa kibri na ana majivuno mno... Too low to be in such position!
 
Salaam wana jamii forum! Taarifa za uhakika nilizozipata wakati huu kutoka kwa mdau muhimu katika Chuo kikuu cha Dodoma ni Kwamba walimu wameamua kuanza mgomo kushinikiza madai yao mbalimbali.

Walimu hao wamefanya mkutano wao leo hii kuanzia saa nane mchana hadi saa kumi na mbili na nusu nao baada ya kupiga kura wote kwa kauli moja isipokuwa watu wanne tu waliamua kuanza mgomo ambao utaendelea mpaka pale madai yao yote yatakapotekelezwa.

Hili ni fundisho kwa uongozi wa kidikteta uliopo hapo chuoni.

Siku zote tunaamini kwamba haki ya mtu haipotei bali huchelewa tu , kimsingi wanaUDOM wamevumilia mengi tangu kuanzishwa kwa chuo mwaka 2007.

Hiki ni chuo pekee cha uma ambacho wafanyakazi wake wote hawajawahi kulipwa pesa ya kujikimu.

Hii ni Taasisi pekee amabayo wafanyakazi wanalipwa mshahara pungufu ya ule unaoonekana katika payroll kutoka hazina.

Hii ni taasisi pekee ambayo salary slip za wafanyakazi ni siri na uongozi wa chuo kuamua kujitengenezea salary slip zake, hali hii ya kugushi salary slip imemsababishia mwalimu mmoja kuwekwa mahabusu akituhumiwa kwamba ni tapeli baada ya kuonesha salary slip ambayo haitambuliki kisheria.

Hii ni taasisi pekee ambayo wafanyakazi wake 409 hawapo katika payroll ya hazina na matokeo yake wafanyakazi waliopo katika payroll inaaminika ndio wanajikikuta wanakatwa mishahara kugharamia wenzao.

Hii ni taasisi pekee ambayo kuna urasimu wa ajabu katika jambo lolote linalohusu pesa hata kama mtu anastahili.

Hii ni taasisi pekee ambayo mshahara mpya umekuja kutoka hazina toka novemba mwaka jana lakini mpaka sasa wanalipwa mshahara wa zamani ambao hata huo nao umechakachuliwa kwa mujibu wa viambatanisho na taarifa za siri amabazo walimu wanazo. Hata katika mwezi huu wameambiwa wasitegemee kupata mshahara mpya.

Siku zote niliamini kwamba UDOM ni bomu linalosubiria kupasuka kwani wakati wake wa kupasuka ndio huu sasa. Wahenga wetu walisema kimya kingi kina mshindo mkuu, wengi waliiangalia Udom kwa jicho la dharau na mabezo kutokana na ukimya wake wakati umefika mjusi amegeuka kuwa nyoka.

Ninakushukuru mdau kwa taarifa hii nyeti sana waandishi wa habari mnakaribishwa Chimwaga siku ya jumatatu asubuhi, kuanzia saa moja na nusu walimu wataendele na mikutano isiyoisha pasipo kuingia darasani huku wakweka mikakati, Taarifa zaidi zinapatikana kwa viongozi tu wa chama cha wanataaluma chuoni hapo kinachoitwa UDOMASA

wagome tu.

Dowans wamedai Bil. 185 siku 2 tu wameshapewa chao.

Inakuwaje walimu ambao wanasota miaka na miaka, tena wakifundisha watoto wa watanzania wanadai mambo yao ya msingi na wanapuuzwa?,
 
Jamani mnyonge mnyongeni haki yake apewe, hawa wafanyakazi hawajawahi kujihusisha na CCM ushahidi upo wakati wa kampeni yalitolewa mabasi kuwapeleka wafanyakazi katika kampeni kimsingi watu hawakukubali kupanda, pia jambo la muhimu tuelewe ni nani ayetoa digrii ya heshima hili huwa ni jopo la watu wachache sana tutawalaumu bure, mimi ninadhani tungefurahia huu moto unaozidi kuwawakia mafisadi na vibaraka vyao

Watekeleze kwanza mgomo ndipo tutawapongeza. Otherwise, UDOM imefika mahali tunachukulia ni chuo cha sisiem.
 
Itakuwa ni kichekesho kuwaunga mkono, UDOM !! wasaliti wakubwa hao.
Ninachoomba tuzingatie ni haja ya kufanya utafiti kabla ya kufikia mahitimisho haya. Ninaamini wengi mna watu mnaowafahamu hapo udom hata na misimamo yao,

kitu ninachokiona kinachowapnza wanaudom ni kutokuwa na tabia ya kutoa mchango wao hapa jamvini.

Hali iliyopo hapa udom hasa kwa kundi la vijana ambao kimsingi ndio wafanyakazi walio wengi zaidi ni watu wenye msimamo mkali na wasio tayari kubuluzwa.

Siku nyingine nitawaeleza kwa nini Udom ilijikuta inakaa kimna kuonekana kama imejitenga na uso wa dunia kuna hoja za msingi sana ambazo kimsingi zitatuliza mzuka wa watu wengi juu ya Hicho chuo
 
ndg zangu, muionavyo Udom kwa nje sivyo walivyo ndani, nadhani sasa mmeanza kuelewa content iliyomo ndani ya Udom, nawahakikishia kuna wanamageuzi wengi sana na mageuzi makubwa yatatokea pale. well done maticha haki zenu zisipotee bure mzipiganie mpaka mzipate kwa umoja na mshkamano kabisa
 
Kwa huu utitili wa migomo na migogoro hivi JK analala kweli huko ikulu? Ni lini atatimiza ahadi zake lukuki alizowaahidia wadanganyika?
 
Matokeo ya kukurupuka na kupenda sifa kwa JK. UDOM ni project kubwa mno kwa nchi maskini na ambayo inaishi kwa kuombaomba kama TZ. Na bado .. kwenye kampeni nilisikia akiahidi vyuo vingine vya size ya UDOM kujengwa Mbeya & Shinyanga ktk kipindi cha miaka 5 ijayo!!?
 
Udom wameonesha njia. Haki haipatikani ikiwa tayari katika sahani ya fedha hakikisheni hamrudi nyuma maadamu taratibu zote mmezingatia hasa uvumilivu wa miaka mitatu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom