Migogoro ndoa za wasomi

Koh Koh Koh "small things matter the most "
Na nyie basi muwega mnatoa hata siku moja moja basi, manake nyie kupokea tu, teh!

BTW mi sifikiriagi kuletewa zawadi sijui nikoje aseeee, I mean ukiniletea nitashukuru lakini hata usipoleta sioni tatizo. Eti najuaga ni jukumu langu tu, duuuh malezi haya jamani yanatuviriga sana!!
 
Aaah me shem wako nampa mbona. Yani namfanyia ufilipino mwanzo mwisho.

Tatizo mnakatisha tamaa, yani mwingine unakuta najipinda kumuandikia kijigazeti cha kumueleza how much I love him, natiririka huyo utadhani atoto kaona hela. Afu mwenzio anakujibu tu "thanks" khaaaa, basi tu Nimezaliwa mfilipino, otherwise ningeacha teh
 
Sista I think hizo ni extremes ambazo hata kwa wasomi zipo. Humu tu wamo tunawaona, teh!
 
Hahaaaaaa wewe tena!! yaani we sista kwa mutakabali wa furaha yako inabidi tu utafute mfilipino mwenzio, mfano Benny ndo mnaendana kwenye hizo mambo, teh
 
Hahaaaaaa wewe tena!! yaani we sista kwa mutakabali wa furaha yako inabidi tu utafute mfilipino mwenzio, mfano Benny ndo mnaendana kwenye hizo mambo, teh
Hahaha kwa hiyo unampigia chapuo Benny? Afu yule mkurya sijui ilikuwaje akawa msweet vile.
 
Sista I think hizo ni extremes ambazo hata kwa wasomi zipo. Humu tu wamo tunawaona, teh!
Afu sometimes mtasema elimu, lakini wengine utata ni asili yao. Eg. wanyaki, wahaya, wakurya, wajaluo teh teh (ila sio wote, dada zako wa humu si unatuona tulivyo wapole)
 
Career women mara nyingi wanajisahau sana katika hivyo vitu vidogo vidogo kama kutengeneza chai. Unakuta house girl anaambiwa mtengenezee baba chai, wakati baba angependa kupata kikombe cha chai kilichotengenezwa na mke wake.
Tulioko kwenye ndoa tunakuelewa vizuri mno, madai ya career woman naye kachoka kutwa nzima busy kazini
 
Afu sometimes mtasema elimu, lakini wengine utata ni asili yao. Eg. wanyaki, wahaya, wakurya, wajaluo teh teh (ila sio wote, dada zako wa humu si unatuona tulivyo wapole)
Dada zangu nyie mbona wapole sanaaa, tena atoto kwenye hela ndo anazidisha upole zaidi na zaidi
 
Mungu hawez kukupa kila kitu, uzuri upewe wewe, hela wewe, trip za majuu wewe, elimu upate wewe na familia bora khaaa we nani? Lazima kimoja kiterezeeee ni kuvumilia tyuuu
 
Bora kutooa ,(It is better to be alone because no one can hurt you)
 
Mungu hawez kukupa kila kitu, uzuri upewe wewe, hela wewe, trip za majuu wewe, elimu upate wewe na familia bora khaaa we nani? Lazima kimoja kiterezeeee ni kuvumilia tyuuu
Jiwe limetupwa kizani, atakaesema poh limempata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…