Basi alijifunza katokana na makosa ya ndoa ya kwanzaPale Muhimbili kuna mama mmoja ni daktari ameolewa na mtunza bustani za hospitali, tena wanaishi vizuri sana. Inasemekana aliolewa na daktari mwenzake kabla lakini waliachana.
Amen mpendwa, ingawa safari ya shule bado inaendelea kwa kweli. But still naamini watoto wetu tutawalea tu vizuri. Na Mungu azidi tu kututia hofu yake, wote pamoja na hao wanaume, hapo ndo hata kaunafuu kidogo katakuwepoKama mmoja wenu hajafika mbali ki-elimu si vibaya tena ndio atakua na mchango mkubwa kulea watoto kama mtajaliwa. Awe tu na hofu ya Mungu.
You People take these things way over the top, just to make some women look bad.Ni kweli mkuu, kuna siku mfanya kazi mwenzetu alikuwa mgojwa, tulikwenda kumjulia hali, basi mke wa yule jamaa alikuwa amepika cake, maandazi, alitutengea chai. Mwenzetu alitueleza kuwa mke wake hamtengenezeagi chai, akiuliza chai anaambiwa kwani huna mikono, birika, sukari na majani vyote vilipo unajua. Nilifikiria tu huyo mama angejua tofauti kubwa atakayomfanyia mumewe siku akianza kumtengenezea kikombe cha chai. Unaona ni jambo dogo sana lakini linamuumiza mume wake.
Daah me nasemaga Ugliness from inside doesn't discriminate, uwe umesoma au hujasoma. Mpe pole kaka yetu kwa janga alilolichuma. Tatizo wanaume hawataki mwanamke hata wa kusema "NO" pale mambo yanapoenda ndivyo sivyo. Wanataka muda wote "ndiyo mzee", sasa mwanamke anayejitambua aende/ asiende shule hutomuendesha kama gari bovu. Yani hawataki waulizwe chochote hawa. Na wao wanahisi mtu akienda tu shule ndo hashikiki, kumbe tupo wasikivu na wapole wengi tu kama mimi na wewe (Koh Koh koh)
Ingekuwa huyo mwanaume anaweza kukusimulia ya moyoni ungepata majibu.Pale Muhimbili kuna mama mmoja ni daktari ameolewa na mtunza bustani za hospitali, tena wanaishi vizuri sana. Inasemekana aliolewa na daktari mwenzake kabla lakini waliachana.
Msomi umeshapata mume?You People take these things way over the top, just to make some women look bad.
Mtu ambaye hataki kukutengenezea hata chai kuna mapenzi hapo! Hiyo story uliyotoa INA mengine ambayo hatujui. Usikute mume alikamatwa ugoni akaambiwa kwanzia leo usinijue hata kwa kikombe cha chai.
Speaking of which, huku ni wanawake ndo wanaotegemewa wafanye hivi vitu kidogo dogo (kuspoil). Mwanaume anaona akiacha noti kazi imekwisha.
Ndomana wanaulizaga "hivi we unataka nini, unalishwa, unavishwa, ndugu zako nawatunza"
Ndo Mapenzi ya huku. Me sionagi love hapa. Mtu anayefikiri niko naye ili aninunulie chakula, haiwezekani.
Hata nikiwa mama wa nyumbani haimaanishi nimekuja kwako kula. That always bothers me ndomana hata sitakagi kusikia mipango ya uhousewife.
Career women mara nyingi wanajisahau sana katika hivyo vitu vidogo vidogo kama kutengeneza chai. Unakuta house girl anaambiwa mtengenezee baba chai, wakati baba angependa kupata kikombe cha chai kilichotengenezwa na mke wake.You People take these things way over the top, just to make some women look bad.
Mtu ambaye hataki kukutengenezea hata chai kuna mapenzi hapo! Hiyo story uliyotoa INA mengine ambayo hatujui. Usikute mume alikamatwa ugoni akaambiwa kwanzia leo usinijue hata kwa kikombe cha chai.
Speaking of which, huku ni wanawake ndo wanaotegemewa wafanye hivi vitu kidogo dogo (kuspoil). Mwanaume anaona akiacha noti kazi imekwisha.
Ndomana wanaulizaga "hivi we unataka nini, unalishwa, unavishwa, ndugu zako nawatunza"
Ndo Mapenzi ya huku. Me sionagi love hapa. Mtu anayefikiri niko naye ili aninunulie chakula, haiwezekani.
Hata nikiwa mama wa nyumbani haimaanishi nimekuja kwako kula. That always bothers me ndomana hata sitakagi kusikia mipango ya uhousewife.
na mimi jamani. Na wao wanahisi mtu akienda tu shule ndo hashikiki, kumbe tupo wasikivu na wapole wengi tu kama mimi na wewe (Koh Koh koh)
Career women mara nyingi wanajisahau sana katika hivyo vitu vidogo vidogo kama kutengeneza chai. Unakuta house girl anaambiwa mtengenezee baba chai, wakati baba angependa kupata kikombe cha chai kilichotengenezwa na mke wake.
sawa lakini usikute mama wa watu hajawahi kutengenezewa chai hata Mara moja. kwanza mama akiumwa ndo anahudumiwa na huyo housegirl.Career women mara nyingi wanajisahau sana katika hivyo vitu vidogo vidogo kama kutengeneza chai. Unakuta house girl anaambiwa mtengenezee baba chai, wakati baba angependa kupata kikombe cha chai kilichotengenezwa na mke wake.
Hahaha ilikuwaje sijui nikakusahau mtoto mzuri.na mimi jamani
😀
nimpate wapi na hivi vyeti nafikiria nivichome tu manake naona vinaniletea nuksi tuMsomi umeshapata mume?
Hahaha nilisahau pesa eti tehmie mpole kwenye pesa tu, teh teh teh teeeh!!
Hahhaha delete kabisa na hizo files kichwani, maana ukiongea tu utajulikana kama ni msomi tehnimpate wapi na hivi vyeti nafikiria nivichome tu manake naona vinaniletea nuksi tu