Migiro leaves UN post; forced out or chose to leave?

Migiro leaves UN post; forced out or chose to leave?

msijifanye hamujui huyu kaambiwa achie ngazi kutokana na sifa za nchi yake iliyojaa dhulma na sera zake za ubinafsi wa Tanganyika kwa kuvaa koti la Tanzania kashindwa kueleza ni muungano wa aina gani katika jamhuri yao ya Tanzania sasa mtu kama huyu ataweza vipi kutumikia umoja wa mataifa . aje kwanza kusawazisha muungano,tume huru,rushwa-( KATIBA ) na hapo ndipo unaweza kuwa na nafasi katika umoja ma mataifa
 
Mie ningependa arudi darasani. Ni mwalimu sheria huyu! Alichomokea huko kwa tiketi ya Viti maalum vya wamama wa Vyuo vikuu. Nafasi hiyo imewapandisha Fenela na Mwenzake WN Mazingira. Watu hawaoni ni namna gani wanawawakilisha hawa Wanawake zaidi ya kuwa post hiyo inakuwa ngazi ya kupanda BINAFSI! So Mama Migiro, rudi Mlimani!
 
anawahi uchaguzi wa ndani ccm nini?? Naanza kupata hisia za "ni zamu ya wanawake kuongoza nchi" kama ilivyokuwa zamu ya "wanawake kuongoza bunge"

usipotoshe ukweli. Ameomba na ameshindwa tena kupata nafasi hiyo, hivyo anarejea tz si kwa kupenda bali ni kwa kukosa nafasi un. Tusitake kuficha ukweli.
 
Kqshindwa kucope na speed ya BabKi moon; mkorea yule balaa mama alifanya business as usual ndio maana kaomba na kakosa tena; mama you have proved a failure maana angekuwa performer angeendela nae; lakini kaonekana mzigo maan muda mwingi yuko huku kuja kutuonyesha yuko UN. Anyway karibu but binafsi sijapenda ulivyo tuprove we cannot perform


Mkuu nilifikiri ameamua kupumzika'kumbe kuna mengine'halafu hii isue ya kuongea kiinglishi masaa yote
Inaweza sababissha hiyo?
 
Kama nafasi ya kuendelea ilikuwepo halafu yeye anatemeshwa mzigo, halafu Boss wake anadai anataka team ya kazi. Napata wasiwasi kidogo. Hapo huenda mama ametunanga na tumepoteza nafasi muhimu kwa future ya bongo yetu. Tumepewa na tumeshindwa kuitumia.


Vipi kama hiyo nafasi wangepewa wakenya?????nafikiri hatukujipanga kama taifa baada ya kukirimiwa hiyo nafasi'labda alitakiwa awe na timu binafsi ya kumshauri'anyway sisi ni wabongo hatuchukulii mambo seriously!
 
"We have heard that she applied for an extension of her contract," said one of the sources in an email communication.* "But that is likely not going to happen as sources close to her say she is planning to return home."

mbio za uraisi 2015 in full gear ingawaje yaonekana Bank-Moon hakuridhika na utendaji wake lakini huku bongo mcheza kwao hutuzwa tu..........
 
Nakuunga mkono hili la ubalozi ila hilo la mtoto kumaliza shule sina uhakika nalo!
"Dr Migiro is said to be in the process or organising how one of her children, who is enrolled in school in New York, can complete her studies without interruption". Source: Hapo juu.
 
Yaani wewe unachoangalia kigezo cha yeye kuwa balozi UN ni mtoto wake amalize shule?.......Only in Tanzania.
Mkuu siangalii hicho peke yake bali niliweka kama nyongeza baada ya kusoma hiki:"Dr Migiro is said to be in the process or organising how one of her children, who is enrolled in school in New York, can complete her studies without interruption". Kuna usumbufu katika hili hasa kama system za masomo ama Programme na Course anazochukua zinatofautiana sana na hapa kwetu.
 
ameponzwa na sisi kuwa omba omba. nafikiri nchi ilikuwa ikimtuma awapigie chapuo. dada yetu wewe upo huko tusaidie ule msaada tulio uomba ukubaliwe. UN wakaona huyu anatumia cheo chake kujinufaisha yeye na nchi yake mbona wakati ya vita ya libya hajasema neno? lakini mipaka ya nchi yake baharini anajifanya kuongea sana. tumpige chini huyu hatufai. undia zengwe ya wanataka watu wenye ushirikiano. tunashukuru kwa ufanyakazi wako ulio tukuka tunakuomba urudi kwenu haraka na wanao wanao suma huko rudi nao.

Naona watu humu mnaongea mambo msioyajua. we unajua terms of reference yake? au unafikiri kiongozi yeyote wa UN ana uwezo wa kuongea. ebu jifunze how the UN system works before you make any judgement.
 
UN kama chombo kinachotumiwa na US kwa sasa kinaondoa vikwazo ktk safu yake ya uongozi ambapo kinalazimishwa kupitisha VITA kubwa nyingine ambayo US inataka ipitishwe na UN....by the way Ban kimoon himselfn he has proved failure kwa kulazimishwa kuunga mkono vita ya LIBYA so yeye km kiongozi mkuu wa UN kawafanyia nini wa Africa zaidi ya kutuongezea machungu na pia kuzidi kutugawa wa wa Africa mf SUDAN imemegeka through UN...

Unamlaumu Ban Ki Mon wakati kilichoigawa Sudan ni ubaguzi wa waarabu wa kaskazini dhidi ya weusi wa kusini?
 
Deputy Secretary-General 42. There is no written process in place for the selection of the Deputy Secretary-General, but the process of how the current Deputy Secretary-General was selected was described to the Inspectors as follows: 22 For exceptions, see paragraph 45. 23 A/64/640, Section II/E/ paragraph 43 (a) through (g). 9 (a) The Secretary-General considered names of potential candidates based on his own search efforts and following his review of high-level persons, either known to him or brought to his attention for consideration. (The Secretary-General knew the current DSG from their previous roles as foreign ministers of their respective countries.); (b) Various interactions were undertaken between the potential candidates and the Secretary-General beforehand given the sensitivity of the appointment. The incumbent had to be able to establish a relationship of trust with the Secretary-General and have the necessary calibre and expertise for such a high-level appointment; (c) The Secretary-General appointed his Deputy following confidential consultations with Member States. Source: Transparency in the selection and appointment of senior managers in the UN's secretariat.
 
Kqshindwa kucope na speed ya BabKi moon; mkorea yule balaa mama alifanya business as usual ndio maana kaomba na kakosa tena; mama you have proved a failure maana angekuwa performer angeendela nae; lakini kaonekana mzigo maan muda mwingi yuko huku kuja kutuonyesha yuko UN. Anyway karibu but binafsi sijapenda ulivyo tuprove we cannot perform

Unataka kumaanisha kuwa na yeye ni Boban mwingine?
 
Mkuu hawa wanawake wasomi pasua kichwa sana..

Angalia mheshimiwa nanihiii anavyokosa amani kifamilia..

mwenzetu wewe kama ni mwanaume unapenda uoe mwanamke mwenye elim gani?na kama umeshaoa je mkeo ana Elim gani?
 
Mkuu hawa wanawake wasomi pasua kichwa sana..

Angalia mheshimiwa nanihiii anavyokosa amani kifamilia..

Kwa msomi aliyeelimika, kwenye masuala ya Familia usomi huuweka kando, nyumba haijengwi kwa shahada za elimu ya darasani na hao Wasomi wanaocheza na ndoa kwa mapembe ya vyeti vya shule ni bure kabisa.
 
Taarifa toka chanzo cha uhakika Prof Migiro alishaachana na Dr Asha Rose Migiro.

Duh, kwa hiyo limebaki jina tu! Kama ni kweli basi ni jambo la huzuni na kwa umri wao; suala la kuachana lina tafsiri nyingi.
 
UN kama chombo kinachotumiwa na US kwa sasa kinaondoa vikwazo ktk safu yake ya uongozi ambapo kinalazimishwa kupitisha VITA kubwa nyingine ambayo US inataka ipitishwe na UN....by the way Ban kimoon himselfn he has proved failure kwa kulazimishwa kuunga mkono vita ya LIBYA so yeye km kiongozi mkuu wa UN kawafanyia nini wa Africa zaidi ya kutuongezea machungu na pia kuzidi kutugawa wa wa Africa mf SUDAN imemegeka through UN...
kama huyu alikuwa kikwazo basi US ina vikwazo vingi sana

FF Tanzani inatahitaji RAIS na siyo mwanamke
 
Back
Top Bottom