dubu
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 3,496
- 3,461
ameponzwa na sisi kuwa omba omba. nafikiri nchi ilikuwa ikimtuma awapigie chapuo. dada yetu wewe upo huko tusaidie ule msaada tulio uomba ukubaliwe. UN wakaona huyu anatumia cheo chake kujinufaisha yeye na nchi yake mbona wakati ya vita ya libya hajasema neno? lakini mipaka ya nchi yake baharini anajifanya kuongea sana. tumpige chini huyu hatufai. undia zengwe ya wanataka watu wenye ushirikiano. tunashukuru kwa ufanyakazi wako ulio tukuka tunakuomba urudi kwenu haraka na wanao wanao suma huko rudi nao.